Huyo Maja alipata matatizo akiwa anafanya shughuli za CHADEMA?? Mbona haelezi Matatizo gani aliyapata ! Haishangazi watu wengine kurudia matapishi yao !KAMA ALIKUWA CCM BARIDI/MOTO ATARUDI CCM
kama Bush , alivyoleta net za mbu na kuondoka na Dhahabu na Uranium , sijui Obama kama ataacha Mafuta na Gesi, Watanzania fungueni macho. Mleta mada hakika ana lake jambo.
Simshangai Pinda maana aliwahi kutoa kauli kuwa wanaoua Albino nao wauawe , Hivyo kupigwa kwa raia wasio na hatia
kwake ni sawa . Swali , Haki huwa inapatikana wapi ??
:yell::yell::yell:
Nakumbuka vema siku hiyo nikiwa Central police Arusha kwa shughuli zangu binafsi , adha niliyopata sintaishau .
Tuko pamoja kwa hali na Mali ! Maadhimisho si ya furaha bali ya huzuni.
Makanda hakuna kukata tamaa ,
Kama kweli ana nia njema na umma wa Watanzania wengi masikini awataje kwa majina hao mafisadi na mabilioni yao huko ughaibuni, , upande wa pili tunahitaji hayo mabilion maana uchumi uko hoi na Zitto tusaidie kuuliza je hadi lini tutatumia pesa halali na haya...
Makamanda wa Mageuzi , mimi niko pamoja nanyi ! kuna mambo mengi muhimu sana yanahitaji kufanyiwa kazi kabla ya 2015. Kama kweli tunahitaji kuiongoza nchi hii ambayo imefikishwa ICU na CCM , sasa hili la Kadi ya Dr.Slaa linapata wapi nafasi ??
Dr. alikuwa mwanachama...
Ama kweli tuna vichwa vya Nazi ! Ufisadi wa Dr. kuhusu kiwanja na mradi wa maji Karatu ni upuuzi mtupu , sijui uliyeandika habari hizi za udaku unaishi wapi ?? hata ukimwuliza mpita njia atakujibu kuwa tatizo la maji Karatu halipo tena baada ya kazi kubwa aliyofanya Dr. Slaa...
Uko sahihi , ulegelege kama wa CCM , ukikumbatiwa ndani ya CDM , ni sawa na kumfuga Black Mamba bila kumtoa meno atakung'ata na kukuua! Dr. usiogope Watanzania wengi wanyonge na masikini wako na wewe !
Naungana na msemaji , kuwa Serikali ya Tanzania inafanya mambo kwa kuangalia ni jambo gani kwa wakati huo ni serious na inaleta hofu kwake , na inafahamu kuwa Watanzania maamuzi yao ni ya matukio . Tunakumbuka vema Babu wa Loliondo jinsi alivyokuzwa wakati...
Ama kweli hayawi hayawi hatimaye yamekuwa , rufaa ya Lema leo ni faraja kwa wanamageuzi wa kweli ! Nape sema neno moja tu halafu Watanzania unaowadanganya kuwa Dr. Slaa ana kadi ya CCM , wakusikie tena kuhusu Lema kuwa Mp. wa Arusha !! Big Up Lema !!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.