Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
poleni wana Chadema hukumu imewachanganya kweli mpaka mnaamua kuanzisha thread halafu mnajijibu wenyewe.
Ritz Kama huna lakuchangi hapa timka haraka usinitafutie ban please!!!!
poleni wana Chadema hukumu imewachanganya kweli mpaka mnaamua kuanzisha thread halafu mnajijibu wenyewe.
Shukuru angalau umepata pa kutokeapoleni wana Chadema hukumu imewachanganya kweli mpaka mnaamua kuanzisha thread halafu mnajijibu wenyewe.
poleni wana Chadema hukumu imewachanganya kweli mpaka mnaamua kuanzisha thread halafu mnajijibu wenyewe.
napita tu
Kwa muda sasa tumezoea kuona baadhi ya vyama vya upinzani kuacha kusimamisha wagombea katika baadhi ya majibo hasa wanapoona hakuna uwezekano wa kushinda. Lakini inawezekana kwa mara ya kwanza tukashuhudia CCM ikikacha kusimamisha mgombea jimbo la Arusha Mjini hasa kama Bw Lema atapitishwa tena na CDM kutetea jimbo lake!
Another bajajiwanajinyea nyea tu huko waliko
ombi langu cdm wasijiamini kupita kiasi maana ccm kama ni uchaguzi watakuja na mbinu ambayo haikuwai tokea.hapo ni kuwa makini sana
CCM hadi kufikia 2015 watajuta kumpa uongozi JK. Hii decision ya leo imepoteza maelfu ya wafuasi wao kwani wameona kabisa nchi imekosa muelekeo kwa mahakama kutumiwa kisiasa. Kizazi kipya hakiitaki CCM, wamebaki wazee na Arusha mjini hakuna wazee wa kutosha kuipa ushindi so hakuna cha wao kushangilia au kusherehekea. Mwisho wa ubaya ni aibu
Maoni yangu binafsi: Arusha ni mji muhimu sana kwenye uchumi wa taifa hili... maoni yangu tangu mwanzo ni kwamba tusikubali tukubali kwamba wananchi wa Arusha walichemsha kumchagua Lema. Lakini hawakuwa na makosa hata kidogo kuchagua CHADEMA, historia inaonyesha hata mwaka 1995. Mrema na NCCR-Mageuzi yake walizoa kura nyingi... So Arusha ni ya wapinzani.
That is to say the candidate was not appropriate: Hivi Arusha ingekuwa na Mbunge kama Zitto, Mnyika, watu wanaongalia uchumi zaidi, Arusha ingeenda wapi sasa? Arusha ina fursa nyingi sana... lakini mwenzetu Lema aliishia kuwa-andamisha vijana kwenda viwanja vya unga limited.
CHADEMA you can do better, and now you have an opportunity to bring somebody who will fit that constituent that i would say " to be economical hub of Tanzania";
- Activate Tourism
- Bring more Airlines to KIA etc. etc.
Wakuu, nimejaribu kufuatilia viongozi wa CCM na wafuasi wa CCM kwenye mitandao. Lakini sijaona hata mmoja akionyesha kufurahia Ushindi wa Kesi dhidi ya aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini Ndugu Godbless Lema. Hii inaashiria nini kisiasa? Ama ndiyo wameshakata tamaa na siasa za Arusha? Au tunaweza kuuita ushindi huu "ushindi wa machungu..."
Mkuu this is very obvious,hivi msumali ukikuchoma makalioni utashangilia au utahuzunika?