Recent content by Python

  1. Python

    John Heche: Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na Dubai

    Kiufupi huu mkataba umetutia AIBU watanzania kimataifa yani Watz wote tunaonekana wapumbavu kwa sababu ya wapumbavu wachache wenye tamaa Walimwengu wataanza hata kuitilia shaka TZ Law School na products wanazotoa Kisa tu baadhi ya WANASIASA MAPUMBAFFFF
  2. Python

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO, JE ILE APPLICATION YENU YA NIKONNECT NI UHAKIKA????
  3. Python

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari Tanesco Nauliza hivi hii technology yenu ya kizamani ya kulipia umeme electronically alafu nipande kistuli nikaiweke kwa mita ukutani wengine wenye vile vicalculator muda huo hakina bettry mpaka ukanunue battry dukani uweke ndo kiwake uweze kuweka token Huu uprimitive mtauacha lini...
  4. Python

    Hivi watu hawaoni kinyaa kulalia Shuka za Lodge, Hotel na Gest house?

    Daah[emoji3]kmmk walah maisha magumu mpaka tumeanza kuyadis majengo na furnitures[emoji3] Mzee kuna maisha na jela usisahau hilo,,,
  5. Python

    Je, kuna dawa yoyote ya kuondoa ndevu permanently?

    Pambana na homoni zako[emoji3]
  6. Python

    Bolt/Uber Accounts for Sale&Hire

    Habari Ni Kwa MaDrivers TaxMtandao Wenye Kuhitaji Accounts BOLT. NiPM
  7. Python

    Nahitaji gari ya kuendesha kama Uber au Bolt kwa mkataba

    Huyu jamaa kaudhihirisha zaidi uongo wake pale aliposema "hata kama akikosa hesabu ya kurejesha hana shida atatoa pembeni kwa hizo biashara zingine" nkaona mh huyu hamna kitu hapa,,, fix tu!!! Bajaj uingize lak6 kwa mwezi[emoji854]
  8. Python

    Tubadilishane kiwanja kwa gari

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aseeee
  9. Python

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unastake buku ili upate buku nne, si bora usibet tu
  10. Python

    Hivi ndivyo wakandarasi wanavyopiga pesa za UKIMWI

    BOQ nyingi nilizowahi kuona utakuta ni chache saaana tena za miradi mikuubwa ndo zinafacilitate haya mambo ya kutoa elimu ya afya na vipimo... Lakini miradi mingi midogo midogo hamnaga mambo hayo Ikiandikwa kwenye bango la mradi inatosha AKILI KICHWANI MTU WANGU[emoji3] kwani nani hajui kama...
  11. Python

    Nimeota hivi ndoto hii ina maana gani

    Nenda duka asili hapo mtaani kwenu Nunua fusho chafu,kibiriti upele changanya jifukize,,,ila kibiriti weka kidogo sana Usidharau mwiba
  12. Python

    Uliza swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa kodi na usajili

    Mkuu labda jamaa yako akawa sahihi , chukua hii mfano, umesema ni kampuni ya ujenzi Tuassume hizi charges kasajili bila kutumia mtu; E.g brela 512,000 Tra kupata Tin makadirio mpaka tax clearanc lets say kalipia 200,000 Then kupata leseni ya biashara amelipia ada 500,000 Then tunakuja kwenye...
  13. Python

    Uliza swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa kodi na usajili

    Mkuu naomba kuuliza, je hii annual return ya brela iko constant?? Je hii return ina husiana na mtaji wa kampuni kama ulioainisha kwny memart?
  14. Python

    Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

    mwanae mbali kote huko yeye mwenyewe mbona analiwa vizuri tu tena kasimama wima kama yuko parade
  15. Python

    Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

    Dogo wewe kichwani hamna kitu ama hio akili unayodhani bado unayo kumbe imeshakuacha imeondoka zake umebaki mwenyewe na mawazo yako mgando. Tukiachana na siasa za mzee Kabudi unadhani kwa mawazo yako (sio akili yako maana akili huna) unadhani unaweza kuargue nae kuhusu jambo lolote lile kuhusu...
Back
Top Bottom