Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,174
- 26,913
Eti kukiona cha mtema kuniMimi nimewashauri, wakiona ushauri hauwafai Sawa ila wacha waendelee kukiona cha mtema kuni ili wa jifunze. Watakuja nikumbuka



hahaha serious!!?We dogo utakuwa una matatizo ya akili
Kati yako wewe na hao walimu nani anakiona cha mtema kuni huko kitaa!?
Geez!!kwanza umeshamaliza ile bachelor yako ya education in psychology au ile adult education. Au udms walikutema
!?
