Naangalia game na everton hapa man united tuko mbele bao 3 kwa sifuri
Nachoweza kusema naona improvemnet kubwa sana... team inaonesha chachu ya ushindi, morale ni kubwa sana kwa wachezaji
Kwakweli na enjoy kuona united kama hii. Na nna imani itaenda kuleta ushindani katika kuwania makombe...
Pogba hapo nyuma aliwahi kunukuliwa "Mama yangu haipendi PSG kwasababu ni shabiki mkubwa wa Marseille"
Sasa mashabiki mabango yamesomeka yakipinga club ya psg kumsajili pogba Kwasababu hio
Nina imani msimu huu ni wa neema kwetu united. Mataji +2 ... endapo tukiimarika katika haya
1. Kucheza mipira iliyokufa kwa Accuracy zaidi aidha (defence & offense)
2. Kuimarisha Beki ya kati (CB)
3. Wan Bissaka aimarike Katika Mpira wa kisasa zaidi yaani Ki Mashambulizi zaidi
4. Wachezaji...
Nashangaa sana mashabiki team pinzani inawauma sana Ole ku renew contract pale OT... Nina uhakika Bodi ya Team kuna kitu imekiona kutoka kwake.
Jamaa amejaribu kuirejesha man u mahali ilipostahili kuwepo... ups and downs ndio sehemu ya mpira
.
.jurgen Klop wakati anafika liverpool alisubiri...
Inapatikana Muhimbili pekee kwa Ngazi ya Degree
Lakini utasoma vyuo viwili kwa wakati mmoja
Mwaka wa kwanza Semister I (Muhas)
Semister ya Pili (MUST)
Then mpaka mwaka wa tatu ndipo utarudi tena Muhas kumaliza watatu na wanne
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.