Recent content by pwiza

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa ya usaili uliofanyika SUA

    Wakuu. Kama kuna mwenye taarifa ya usaili uliofanyika chuo cha kilimo sua mwezi wa 12 tarehe 30 na 31 mwaka 2013, kama washaita watu kazini atujuze.
  2. P

    JamiiForums Tanzania usaili uliofanyika SUA mwez wa 12

    wakuu kama kuna m2 mwenye update za usaili uliofanyika SUA mwez wa 12 atujuze.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Pccb kunakucha lini

    yametoka kweli au muongo?
  4. P

    JamiiForums Tanzania msaada wakuu pliz

    hata ukonda poa mkuu
  5. P

    JamiiForums Tanzania Moyes havumiliki,aondoke..

    co chaka hakuna timu iliyobora miaka yote rise & fall kipind cha mpito kila timu inapitia river plate ya argentina ilishuka daraja mpinzan wa bocca junioh
  6. P

    JamiiForums Tanzania Birthday cake

    atakuwa shoga huyo
  7. P

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye aliyesema siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa...!

    kazi ipo
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mwananchi vp jaman?

    habari ndugu zangu mwenye taarifa za uhakika kuhusu ajira walizotangaza mwananchi kinachoendelea.
  9. P

    JamiiForums Tanzania jang'ombe zanzibar: nyumba yazama yote ardhini na kila kilichokuwa ndani yake.

    mkuu ktk hiyo nyumba hakukuwa na watu waliopoteza maisha?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Sekretariet ya ajira sina imani nao tena..!

    usibishe na kuwapongeza mkuu hao sekretariet ya ajira kaz yao ni kutoa majina na kusimamia mitihan usail wa oral unafanyishwa na waajiri wa mashirika husika na c utumish tena kubebana kupo na kupata ajira ni bahat bado ni sawa na tpdc.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Makao Makuu ya CHADEMA hakuna picha ya Rais wa nchi?

    akiweza kuyavua magamba mana atakuwa msafi bas picha utaziona
  12. P

    JamiiForums Tanzania pccb usimamiz majanga

    ww unaeulizia benk kuu ni mtoto wa kigogo gan hapa nchini?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Pccb kunakucha lini

    bado wanasahihisha mkuu utajua tu
  14. P

    JamiiForums Tanzania msaada wakuu pliz

    jaman naombeni msaada kwa mtu anayeweza kunipa mchongo nna lesen class E hata kazi ya kupeleka watoto shule nipo tayar kufanya.
  15. P

    JamiiForums Tanzania interview SUA ya mwez wa 12

    wakuu tujuzane kwa wale waliofanya usaili SUA kimya sna.
Back
Top Bottom