pccb usimamiz majanga

pccb usimamiz majanga

Kwa hiyo una ashumu walio piga paper la pili wameula?

Ndio, na ndio wengi watakao perfom coz walikua wanajua maswali yote na kuwa na uhakika wa kitu gani wanaenda kuulizwa na majibu yake.Kama ni uongo fuatilia majibu au nenda kaulize walio sahihisha watakupa haya ninanyo kuambia
 
chamsing nin bongo inahtaji changez za uongoz dawa yao m4c 2015 watajua 2 wazee wote kazni wataachshwa thawa vmilien ila pgen kura mwakani
 
yaah nikweli wa second round watafanya vxur sana maana walishajua kila kitu
 
fidel80@ushauli wangu warudie pepa wamechemka kwa style ile hauwez fanyisha watu pepa moja kwa shift mbili na wasimamizi walikuwa wachache mno
Kurudia paper ni gharama kuliko unavyofikiria. Usijiangalie wewe unayeishi Dar es Salaam tu. Kuna watu wametoka Kigoma, Kagera, Mara n.k kuifuata hiyo paper. sasa ukitaka irudiwe hao wengine unawafikiria vipi? Wapende na wenzio.
 
Kwa muktadha huu watoto wa wakulima toka mikoani wataendelea kusubiri.
 
Ndio, na ndio wengi watakao perfom coz walikua wanajua maswali yote na kuwa na uhakika wa kitu gani wanaenda kuulizwa na majibu yake.Kama ni uongo fuatilia majibu au nenda kaulize walio sahihisha watakupa haya ninanyo kuambia

Kwa hiyo haki haitapatikana hapo!!
 
Achen majungu jaman
... mbona interview zote me naona ndio zinakuwaga hvyo! Au ndio first tym unafanya? mbona waliofanya interview ya kwanza maswali yalikuwa tofauti kabisa na ya pili! Maswali ya kwanza kulikuwa kuna kutambua wakuu wa mikoa n.k. Na awamu ya pili kulikuwa kuna kutambua kiongoz wa bunge n.k. sasa mlitaka wafanyeje? na upande wale wote walio google itafahamika tu maana zilifungwa CCTV camera sa kazi kwenu nyie vilaza mlio google. NB TUPEAEMOYO NA SIO UKITISHANA TAMAA. MALA ETI WANAWATU WAO...HIVYO ATUJENGI BALI TUNABOMOA.
SHAME ON YOU MTOA MADA
 
Aptitude test inatafuta ufahamu wa mtu katika nyanja tofauti. Hata ukioneshwa paper yote hutoweza ku-google kila kitu.
Mtu hawezi kupewa passage yakusoma na kujibu maswali, akaenda kuyakuta majibu google sana sana ataambuli majibu mache ya maswali yaliyopo google.
So kama mtu ni kilaza itajulikana tu ukizingatia kuwa kuna interview nyingine inafuata.
 
True that,kuna ukweli ndani yake,masmali mtu anayoweza kugoogle hayazidi matano,yale mengine multiple choice sijui mtjt utagoogle kitu gani,anyway tumuombe Mungu maana watu ni zaidi ya wengi na si wote watakaofanikiwa kuitwa,so bora kukazana kusali na kuendelea kufanya application sehemu zingne
 
Back
Top Bottom