Recent content by pweza dawa

  1. pweza dawa

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukitumia aina hii ya chai hutodanganywa kamwe na matapeli wa kutibu nguvu za kiume

    Asubuhi hiyo chai! Na mchana pilau ukamilishe kabisa
  2. pweza dawa

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna Mbadala wa DSTV? Yaani Pesa zote tunazolipa hakuna EFL Cup?

    Tupo wengi jamani! Hawa jamaa saa hizi no shida hakuna bundesliga hakuna ligue ya France hakuna ligi ya Italy wala ya ureno kwa kweli wamepoteza ubora sio kama zamani
  3. pweza dawa

    JamiiForums Tanzania Kuchepuka raha

    Anakubana tu!
  4. pweza dawa

    JamiiForums Tanzania Kuchepuka raha

    Tena uliyempata bado ajui kitu ungenipata mimi ungeomba talaka kabisa maana ungeona jamaa kama anajubana tu! Na Mimi ninavyopenda dezo!
  5. pweza dawa

    JamiiForums Tanzania Majini unafuga mwenyewe sio kwamba hela za pensheni zina majini.

  6. pweza dawa

    JamiiForums Tanzania Neno moja nililopewa na Mkongo baada ya kunipa vumbi Kasongo aka vumbi

    Unapaka? Kwenye dudu?
  7. pweza dawa

    JamiiForums Tanzania Neno moja nililopewa na Mkongo baada ya kunipa vumbi Kasongo aka vumbi

    Unakifanyaje kitunguu swaumu?
  8. pweza dawa

    JamiiForums Tanzania Je, ulijisikiaje siku ya kwanza ulipoijaribu bangi? Mwenzenu ilikuwa hivi...

    Nilipiga hiyo kitu na mshikaji wangu ndie alinifundisha! Basi kila tulipoona nyaya za Umeme tuliisi zipo jirani acha tuiname! Kufika gettto mziki ulikuwa mchiriku yaani uliingia ktk hisia sio mchezo!
  9. pweza dawa

    JamiiForums Tanzania Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

    TV 1 king'amuzi cha Azam
  10. pweza dawa

    JamiiForums Tanzania Huyu dada ni lijizi lililoshindikana

    Wanatumia tu picha zake kutapeli watu Huyo sio mwizi kabisa!
  11. pweza dawa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

    Kwani nani kakuuliza unafanya Kazi wapi? C tunataka kujua zenyewe au la! Mbona utetezi mwingi!
  12. pweza dawa

    JamiiForums Tanzania Elibariki Kingu: Kwa hili la RC wa Dar, naomba niwe wa kwanza kufukuzwa CCM

    Nasubiri kesho clouds 360 kama watatuwekea hiyo clips ya Bashite kuvamia Shilawadu
Back
Top Bottom