Recent content by pvh re

  1. pvh re

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Kwa walioomba wamepata na ambao awajaomba watapa chuon pia
  2. pvh re

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Kwa special diploma waliomba washapewa wote 100% mk0p0
  3. pvh re

    Asilimia 82 ya wanafunzi wakosa mikopo 2015/16

    Mkuu inavoonesha ishamaliza yako sasa hebu tupe faraja kidogo wale tuliokosa sababu sio wote wana uwezo kama unavofikir ndugu hata usimvunje moy0 mtu anaelekea kukata tamaa
  4. pvh re

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Jamaniii iv kama wamesema tuition fees atulipi sasa maana yake tutapewa chuon japo kuna wengine tulituma helsb maombi ya mkopo na atujapata au ndo second lot itatukutia tukiwa palepale chu0n???
  5. pvh re

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Achiii mbona ivoo wakuu kuwen wapole bas Mda unaruhusu 2subir watasemeje wenyewe heslb
  6. pvh re

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Thx 4 dat kaka yaan cc tuliowai ndo 2mefanya jambo la muhim kuomba mapema au sio mkuu
  7. pvh re

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    Ngoja ngoja yaumiza matumbo jaman tamisemiii
  8. pvh re

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Wakuu je 2lioomba mkopo heslb kabla ya kuthibitisha itakuwaje au tutafanya application mara ya pili au?
  9. pvh re

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Wakuu je kwa wale 2liomba mkopo kabla ya kuthibitisha je itakuwaje
  10. pvh re

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Mkuu naomba uniambie/ utuambie mahitaji ya muhim ambayo unapaswa kuandaa mapema mdau
  11. pvh re

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    2juzane mengi wakuu pamoja 0672298580
  12. pvh re

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Sisi Walimu watarajiwa 2we na subira siku si nyingi watatutaarifu siku yenyewe wala 2siwe na presha wakuu mungu atupe afya njema 2weze hudhulia mafunzo yetu
  13. pvh re

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Aswaa ni jambo la mcngi kujua kama ni kwel 2ambiane wakuu web ni ipi
  14. pvh re

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Wakuu anaejua au kuona au kumbiwa siku ya kuripoti tujuzane sababu maisha ya mtaani yame2chosha
Back
Top Bottom