Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

hapana bado hawajaenda mkal...ndo kwanza wako kwa mtaa wanakula bata nakuaribu watoto wa watu kwa speed ya atar....,aiseeee

kalagabaooooooo wacha weeeeeeeeeeee kijana wakula ujana aiseeeeeeeeeeee ila kwa tahadhari tu kula kidgo sio sanaa.
 
Jamani habari njema udom yatoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na diploma maalum na chuo kitafunguliwa tarehe 31/10/2015
 
Wale mnaoenda udom
 

Attachments

  • 1440823991462.jpg
    1440823991462.jpg
    63.9 KB · Views: 279
Jaman embu nieleweshen hapo tuna thibiti vp? naona wameweka sehem ya ku Log in yaani sielew kabsaa anae faham plzzzz
 
Soma maandishi yaliyoandikwa ndani ya viboksi hivyo vya kulog in kuna maelekezo
 
Ndugu yangu kibox cha kwanza kinasema niandike namba ya mtihani alf kibox cha chipi kinasema neno siri sasa mimi hilo neno siri sijalijua
 
mbona maelezo yao katika kuthibitisha kama yana utata sasa hizo password tunatoa wapi ilhali hatuna a/c
 
Password ni jina lako la ukoo kwa herufi kubwa, user name unaingiza namba yako ya mtihani ya form four
 
Back
Top Bottom