Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Wakuu anaejua au kuona au kumbiwa siku ya kuripoti tujuzane sababu maisha ya mtaani yame2chosha
 
hivi nyie mnaosema ni tarehe kumi na saba hizo taatifa mmezitoa WAP!? mbona mm sijaziona kwenye hio website kams vipi tuelekezeni nasisi tuangalie

Aswaa ni jambo la mcngi kujua kama ni kwel 2ambiane wakuu web ni ipi
 
jamani namimi niliambiwa kuwa tunaweza kuripoti tarehe 17 na wanafunzi wanaosoma hii course kwani wao pia wanaenda tarehe hii
 
Mmmmmmmh apa kwek kaz ipo mpaka tupate jibu la uhakika cjiui lin kila mtu anatoa jibu lke
 
habarn zenyuuuu wana jf...hii ni kwa waendao udom kupga special dploma...pga namba hz kwa kujuana pamoja na kujuzana ambayo yamexhajiri......0717005854
 
Sisi Walimu watarajiwa 2we na subira siku si nyingi watatutaarifu siku yenyewe wala 2siwe na presha wakuu mungu atupe afya njema 2weze hudhulia mafunzo yetu
 
Sisi Walimu watarajiwa 2we na subira siku si nyingi watatutaarifu siku yenyewe wala 2siwe na presha wakuu mungu atupe afya njema 2weze hudhulia mafunzo yetu

haswaaaaaaaaaa mkal wang....eb fanya kutupia yako namb nkutafte nkupe minewz
 
Jamani tafadhari nahitaji kupata Joining instruction ya UDOM kwa wanafunzi waliotoka kidato cha nne 2014 waliochaguliwa moja kwa moja kujiunga na chuo hicho. Tafadhar nijulisheni
 
Sisi Walimu watarajiwa 2we na subira siku si nyingi watatutaarifu siku yenyewe wala 2siwe na presha wakuu mungu atupe afya njema 2weze hudhulia mafunzo yetu

Apo umesema mdau watu wanapresha na UDOM
 
Cheee.....nenda chuo...utaipata hiyo admission letter...... we unadhani wanaagiza uje na jembe,ndoo,sare,sueta huko......??!!!
 
Back
Top Bottom