Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Utaratibu wa mkopo utatolewa na Heslb hiv punde kwahyo tuwe macho kutembelea tovut ya board kila mara ikibid kila cku ili tupate utaratibu wakuomba.

Endelea kusubilia embe dodo chini ya muarobaini..

Jiulize maswali yafuatayo:

1.Bodi wakiruhusu kuomba mikopo wakati huu itakuwa processed kipindi gani wakati vyuo karibu kufunguliwa?

2.Unajua kama utaratibu wakuomba mikopo ufanyika kabla ya matokeo au selection kutoka?

3.Unajua kama kuna vyuo kama korogwe,kleruu wanapata mikopo navyopia wanasoma kozi hizo na tayari wapo chuoni?

4.Hakuna utaratibu wa kuombea mikopo chuoni na haijawai kutokea.

5.kuna fomu 8 za kujaza kwenyw mikopo..zitahitaji sahihi za mwenyekiti,katibu na mjumbe wamtaa,picha ya mdhamini na sahihi,je ukiwa.chuoni utavipataje vyote hivyo...fikiri mara 2

KAMA ULISHINDWA KUOMBA MKOPO TANGU APRIL mpaka JUNE..usitafute mchawi...mchawi ni wewe
 
Acha kupotosha watu Mr hiyo ni taarifa rasmi imetolewa na soon watu watapewa utaratibu so ww tunakuit wakukulupuka!
 
Last edited by a moderator:

Wew kwani umemaliza form six au ni special diploma kama sisi mana haueleweki na taarifa hausomi kwa umakini
 
Endelea kusubilia embe dodo chini ya muarobaini..

Jiulize maswali yafuatayo:

1.Bodi wakiruhusu kuomba mikopo wakati huu itakuwa processed kipindi gani wakati vyuo karibu kufunguliwa?

2.Unajua kama utaratibu wakuomba mikopo ufanyika kabla ya matokeo au selection kutoka?

3.Unajua kama kuna vyuo kama korogwe,kleruu wanapata mikopo navyopia wanasoma kozi hizo na tayari wapo chuoni?

4.Hakuna utaratibu wa kuombea mikopo chuoni na haijawai kutokea.

5.kuna fomu 8 za kujaza kwenyw mikopo..zitahitaji sahihi za mwenyekiti,katibu na mjumbe wamtaa,picha ya mdhamini na sahihi,je ukiwa.chuoni utavipataje vyote hivyo...fikiri mara 2

KAMA ULISHINDWA KUOMBA MKOPO TANGU APRIL mpaka JUNE..usitafute mchawi...mchawi ni wewe

teh teh teh HAYO unasema wew kwa mtazamo wako ila WAENDESHA PROGRAM WAKISHIRIKIANA NA UDOM WANASEMA HV "UTARATBU WA MKOPO KWA WALE WALIOTHIBITISHA HUTATOLEWA HV KARBUN NA BOD YA MIKOPO KUPTIA TOVUT YAO www.heslb.go.tz kwa msaada zaid TEMBELEA UDOM-WEB
 
hv uyo fal anaesema awaombi chuo n kama nan pale bod y mkopo fkr kabla ujaongea mwaka jan tuliambiwa hv kwa walioshindwa kuomba mwanzo watapata fursa ya kuomba pnd wafikapo chuon na kusajliwa
 
Achiii mbona ivoo wakuu kuwen wapole bas
Mda unaruhusu 2subir watasemeje wenyewe heslb
 
Endelea kusubilia embe dodo chini ya muarobaini..

Jiulize maswali yafuatayo:

1.Bodi wakiruhusu kuomba mikopo wakati huu itakuwa processed kipindi gani wakati vyuo karibu kufunguliwa?

2.Unajua kama utaratibu wakuomba mikopo ufanyika kabla ya matokeo au selection kutoka?

3.Unajua kama kuna vyuo kama korogwe,kleruu wanapata mikopo navyopia wanasoma kozi hizo na tayari wapo chuoni?

4.Hakuna utaratibu wa kuombea mikopo chuoni na haijawai kutokea.

5.kuna fomu 8 za kujaza kwenyw mikopo..zitahitaji sahihi za mwenyekiti,katibu na mjumbe wamtaa,picha ya mdhamini na sahihi,je ukiwa.chuoni utavipataje vyote hivyo...fikiri mara 2

KAMA ULISHINDWA KUOMBA MKOPO TANGU APRIL mpaka JUNE..usitafute mchawi...mchawi ni wewe

hahaha umekurupuka kaka hembu tembelea www.Udom.ac.tz fungua ile taarifa inayohusu KUTHIBITISHA soma mpaka mwisho kwaumakin nadhan jibu utalpata NA USIRUDIE TENA KUKURUPUKA
 
Back
Top Bottom