Recent content by Purity Emmanuel

  1. Purity Emmanuel

    Need Some Help

    habari zenu, Nina ndugu yangu amehitimu kidato cha nne amepata division two na nia yake hasa ni kusoma combination ya CBG Je ni shule gani za binafsi nzuri ambazo zinafundisha hii combination
  2. Purity Emmanuel

    Niko njiapanda Sijielewi Jamani

    utakapomrudia huyo Leah huwezi ukajua lipi litakutoa kwani hujui ni kwanini akikuacha usipoteze muda hebu muombe Mungu wako akusaidie umsahau huyo leah kwani kwa Mungu hakuna lisilowezekana unarudi kwa leah akupe ugonjwa uishie kufa unamuacha dada wa watu anayekupenda hebu jifunze kumpenda...
  3. Purity Emmanuel

    Are there any difference between Digital storage facilities and Data storage devices

    Help me out this two things confuse me I don't get it when they say digital storage facilities what are they?
  4. Purity Emmanuel

    whats going on with wikipedia?

    Thank you for the info
  5. Purity Emmanuel

    Help me out Differentiating between a strategy and Tactics

    Asanteni sana sasa nimeelewa na pia nimezidi kupata mwanga,stay blecd
  6. Purity Emmanuel

    Help me out Differentiating between a strategy and Tactics

    Naomba kwa yeyote anayefahamu mambo ya Advertising anisaidie hili kuna topic inaitwa Advertising strategy and Tactics nimejitahidi kutafuta kwenye baadhi ya reference books lakini sijafanikisha kupata jibu sahihi na hata kwenye mtandao pia lakini sijapata tofauti za kuniridhisha yani zote...
  7. Purity Emmanuel

    Kwetu pazuri!

    nikiuona huo mlima nakumbuka jinsi TTB walvyofanya uzembe
  8. Purity Emmanuel

    wanaume wa fesibuku wanapenda kweli?

    ni kweli nilikosea kumwamini sana huyu mtu...ila nimejifunza
  9. Purity Emmanuel

    Nimemtongoza,baada ya kunipa namba zake kanipa za kidume,huu ni ustaarabu?

    pole huyo alikua hakutaki,na ww ulimpenda kweli au ulimtamani?
  10. Purity Emmanuel

    wanaume wa fesibuku wanapenda kweli?

    amabalo ni Tulinagwe
  11. Purity Emmanuel

    wanaume wa fesibuku wanapenda kweli?

    Asanteni nimewaelew vizuri.. Kupitia hii post nimejifunza humu ndani kuna wengine akili zao hazifikirii sawasaw,Eti jamii forum imevamiwa na watoto eti kwa mkasa huu jifunze kutokua mtu wa kutoa hukumu WHO ARE YOU TO JUDGE ukiona post ya kipuuzi/ya kitoto achana nayo kuliko kupoteza muda...
  12. Purity Emmanuel

    wanaume wa fesibuku wanapenda kweli?

    unajibu hata kama wewe ni sekondari,jibu kisekondari kwani unafikiri wote mliomo humu mna miaka 30 wengine tuna miaka 20,kwahiyo bado hatujawahi kukumbana na hayo we unachotakiwa kufanya ni kutoa ushauri kama unaona swali la kindergaten basi liache
  13. Purity Emmanuel

    wanaume wa fesibuku wanapenda kweli?

    Nilikua natumia jina langu nlilopewa na wazazi maana hili la purity nimejipa mwenyewe
  14. Purity Emmanuel

    wanaume wa fesibuku wanapenda kweli?

    Naombeni mnisaidie kidogo ili nipate kufahamu maana naona hii social network haina faida kabisa, Mara ya kwanza tulionana fesibuku nililike picha yake hapo sasa ndo kosa baada ya hapo nikatumiwa namba mi sikuona hatari kwani nilichukulia kama social networking tukawa tunawasiliana alinialika...
Back
Top Bottom