Need Some Help

Nov 11, 2011
49
10
habari zenu,
Nina ndugu yangu amehitimu kidato cha nne amepata division two na nia yake hasa ni kusoma combination ya CBG
Je ni shule gani za binafsi nzuri ambazo zinafundisha hii combination
 
Kama Unataka kupishana na gari la mkopo chukua hiyo combination
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom