Nimemtongoza,baada ya kunipa namba zake kanipa za kidume,huu ni ustaarabu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimemtongoza,baada ya kunipa namba zake kanipa za kidume,huu ni ustaarabu?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by CHIPANJE, Dec 13, 2011.

 1. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jana nikiwa class nilijikuta nashindwa kusoma baada ya kuka na mdada aliyenivutia kimapenzi.

  Sikuficha hisia zangu kipindi kikiwa kinaendelea nikamweleza kwamba ukaribu wake pamoja nami umeniwekea kikwazo kwa kutomsikiliza lecturer.Nikamwomba namba kisha aka-ahidi baada ya kipindi angenipatia.

  Ni kweli alinipatia,nilipopiga kumjulisha namba zangu na kutaka kujua rum namba yake nikakuta simu inapokelewa na Mchizi na si yeye.Je huu ni ustaarabu?
   
 2. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Huyo chizi aliipataje simu yake au aliiokota?

  Afu huyo chizi atajuaje kutumia simu?
   
 3. g

  gongolamboto JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 510
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Ndiyo ukome kudandiadandia wanawake hovyo hovyo. Unadhani kila mwanamke ni malaya? Jaribu kuwaheshimu wanawake. Hao ni mama zetu
   
 4. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Bahati yako. Next time utatolewa macho, acha tamaa
   
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  Dec 13, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Kakushusha sana...tafuta wa ligi yako...
   
 6. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #6
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  sasa tutamjuaje kicheche na asiye kicheche maana siku hizi nyote mwafanana?
   
 7. Purity Emmanuel

  Purity Emmanuel Member

  #7
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole huyo alikua hakutaki,na ww ulimpenda kweli au ulimtamani?
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Badala usome unawaza mapenzi. Ngoja uliwe kichwa.
   
 9. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #9
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Sasa wewe unakaa na mtu tu karibu unamtamani hapo hapo na kumpenda hapo hapo...mmmh sijui utawapenda wangapi wewe.Pia hayo ndo matatizo ya kusoma shule zisizo mchanganyiko maana kama ungesoma shule mseto ungeisha wazoea kitambo sana hata akivua nguo hapo poa tu.Kaza moyo wako dogo piga shule huyo siyo last born wapo sana na sanaa na wataendelea kuwepo sanaaa..:focus:SOMA KWA BIDIIIIIII
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  safi sana. Badala ya kusoma watamani vya watu. Next time akupe namba ya tanesco emergency au polisi
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Dec 13, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Duh, vijana mna kazi kama ni peer presure iko ivo.
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Dec 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Smart girl. . . . .
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Dec 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  soma sana kama unakufa leo..
   
 14. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #14
  Dec 13, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  huyu anafuata ushauri wako ulioutoa kwa watu below 30, anataka afyagie wote kabla hajafikwa na uzeee, teh teh teh teh
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Wewe unataka kuliwa kichwa, badala ya kukomalia masomo unawaza tu ngoma!
   
 16. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #16
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Kijana haupo serious....!! Yaaani huyo mdada ni mstaarabu sana...otherwise ingekuwa mitaa ya kwetu kule,angewaita na mashoga zake wakusute usivyokuwa na haya...#Nonsense
   
 17. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #17
  Dec 13, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ah wap! Alimshtukia hata lunch asingeweza kumtoa ndo maana akampiga chin
   
 18. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #18
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Kama ndio hivyo basi jamaa kapitiliza wenzake wanacheza kwa step bana...sio anaenda anaenda tu,ataumia vidonda visivyopona...ohoooooo!
   
 19. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #19
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  u r very right my girl,this lady gave him a blow of a life time,au pengine dada alikuwa bafuni baada ya kazi ikabd hubby apokee,ha ha ha,pole sana,i wish nimfanyie m2 hvyo,
   
 20. Kambaku

  Kambaku JF-Expert Member

  #20
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,986
  Likes Received: 2,902
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha
  Amekukomesha kweli aisee, alafu ukikurupuka hapo asubuhi ni mgomo kwenda mbele! unadhani hiyo pesa unayopewa hapo itakutosha kama ndio hivyo?
  Badala ya kusoma unawaza binti yuko room gani! Hata Lecture humsikilizi kisha akitangaza Test una organise mgomo fasta, soma wewe dogo
   
Loading...