Recent content by purembuya

  1. purembuya

    Eddo Kumwembe: Zamani tulioishia darasa la saba tuliwaogopa Maprofesa, siku hizi hatuna cha kuwahofia...

    Unakuta profesa kafuga nywele nyingi, hajapendeza , kavaa suruali kubwa , lkn maprofesa wa Leo nywele hawafugi , kazi kuvaa modo , hzo akili watazitoa wapi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  2. purembuya

    Salaam za Uhuru: Kazi na Bata — Maana yake nini hasa?

    Bata batani kwani kuna kenge anapata tabu
  3. purembuya

    Dk Bashiru Ally: Membe aige tabia za Lowassa. Lowassa ni mtu muungwana na hana unafiki

    Katibu mkuu kaamua kutaka kuonana na Rais ajaye mapema ili waanze kujenga uhusiano mzr , nani hataki sekenke. Bata na kazi ndo hbr ya mjini
  4. purembuya

    Kazi na bata, kebehi kwa Watanzania

    Hii slogan ya kazi na bata kwa utawala huu, lazma imnyime mtu usingizi , tutashuhudia mengi. Na sisi tumeamua kazi tuu peleka chato, kazi na bata tuleteee watanzania
  5. purembuya

    Kazi na bata, kebehi kwa Watanzania

    Kila siku yy kuombewa tuuu #Kazinabata
  6. purembuya

    Kazi na bata, kebehi kwa Watanzania

    Kazi bila burudani ni utumwa , baada ya kuchapa kazi lazma tule bata , sasa kazi tuuu huu nao ni utumwa. Kazi na bata ndo hbr ya mjini
  7. purembuya

    Kazi na bata, kebehi kwa Watanzania

    Kazi na bata ndo hbr ya mjini
  8. purembuya

    Kazi na bata, kebehi kwa Watanzania

    Kwa hiyo sote tumekubaliana Ile #KaziTu abaki nayo mwenyewe sisi tunakwenda na #KaziNaBata [emoji23][emoji23][emoji23]
  9. purembuya

    Ulinitesa sana, sababu nilikupenda

    Mwanaume ukapigwa kibao, ukakaa chini ukaendelea kulia[emoji51][emoji51]. Kuna shida juu ya uumbaji wako
  10. purembuya

    Leo mchepuko unakuja

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  11. purembuya

    Mwanamke akimtawala mume wake anadhani wanaume wote ni sawa tu na mumewe

    Tunayataka wenyewe kujifanya romantic kila wakati.
Back
Top Bottom