Recent content by PureM

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kiherehere kimeiponza Uingereza

    Safi sana.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Alifanya unannounced visit to Ukraine. Ndio akakutana na maswaibu ya mabomu.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Shell Oil imesitisha usafirishaji wote wa Red Sea kwa muda usiojulikana

    Vita ya baharini ni ngumu sana ikiwa wewe unapigia bili kuwa na land base. Hao US na UK wanapigana na Houthi kutokea wapi? Je, wana land base? Hawana, sasa unatarajia wataipigana vipi hiyo vita. Ndio maana hata hii juzi hao US & UK walipoishambulia Yemen, walirusha mabomu tokea Mediteranea...
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kamuambia mchepuko wake hajaolewa

    samehe 7 x 70.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe amepooza sana katika siasa, makali yake yameisha?

    Mnataka awapambanie majitu majinga na mapumbavu? Mbona wakati anapata mateso mlikuwa kimyaaa... mnafoka kwenye keyboards. Mwacheni alambe asali taratiibuuu na kila mtu aangalie familia yake.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kuona Dada wa Kazi (house girl) mwenye degree ya Accounting pamoja na CPA inafundisha Uwekezaji wa kusomesha mtoto haupaswi kutumia gharama kubwa

    Sio kwamba ukishakuwa na CPA tu unaruhusiwa kufungua kampuni ya kukagua au kufanya mahesabu (Auditing Firm). Ukiwa na CPA maana yake ni kwamba wewe ume graduate kuwa mhasibu. Ishu ya kuwa na muhuri ni ishu nyingine kabisa.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwa namna mambo yalipofika sasa hivi, Ukraine anatakiwa amuombe msamaha Russia, ajutie makosa yake, ahaidi kutorudia tena na atekeleze matakwa ya Russia. Ukraine liwe taifa neutral na maisha yarudi normal.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hii inaitwa Missing in action.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Israel: Baada ya mapumziko ya Kubadilishana Mateka tutawashushia Hamas Kipigo kitakatifu

    Daaaah.... mabomu yanayopigwa hapa sio ya kitoto aiseee. Yaani hadi barabara inanesa kama spring vile...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Msanii Harmonize ‘Konde Boy’ alivyotibuana na Mabaunsa Uwanja wa Mkapa, ngumi zarushwa

    Tatizo ni uvutaji wa Bange....
  11. P

    JamiiForums Tanzania Yajue mafao ya viongozi wa kisiasa

    Wasipoiba na kuishia kuwa na familia kama ya Mwalimu Nyerere, mnaishia kuwananga.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mnaleta mashindano ya kana kwamba tupo Form 1 na tunashindana nani anakuwa wa kwanza kwenye mitihani. Nilishauri humu kwamba tuwe na group la WhatsApp na tuchambue (tu analyse) matches na tuweke hela. Lakini watu wakaishia kuleta maneno ya shombo. Huwezi kuweka train la matches 55 na ukaweka...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kazi za majeshi huko Duniani zimekaa kupotezeana muda

    Hii ilikuwaga zamani sana enzi hizo za utawala wa kifalme. Mfalme ni lazima na yeye awe frontline apigane hiyo vita. Na kama vipi, anaweza kuuawa huko vitani. Lakini sasa mambo yamebadilika.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Saudia,UAE, Misri wakataa pendekezo la vikwazo dhidi ya Marekani na Israel

    Embu Fafanua mkuu.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Mmiliki wa Hotel inayokuja kwa Kasi sana Unguja Zanzibar ya Kwanza Hotel

    Habari bila picha ni umbea...
Back
Top Bottom