Recent content by punjabu

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua kuanza kujifunza computer programming (back end development)

    sawa mkuu, vipi java???
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua kuanza kujifunza computer programming (back end development)

    Kwa hiyo mkuu Graph wewe kwenye kazi zako unapendelea sana kutumia programming language zipi???
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nianzie wapi kusoma programming Languages

    Aisee nashukuru sana kiongozi kwa ukarimu wako.
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nianzie wapi kusoma programming Languages

    aisee kiongozi naomba nisaidie, ni version ipi ya linux ni nzuri kwa matumizi ya kawaida na ipi ni nzuri kwa matumizi ya programming.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Interview kwenye vyombo vya ulinzi na usalama imekaaje

    Nashukuru sana mkuu
  6. P

    JamiiForums Tanzania Interview kwenye vyombo vya ulinzi na usalama imekaaje

    Mkuu mimi nataka kupata uzoefu ndio maana nikauliza, hapa tunaelimishana tu.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Interview kwenye vyombo vya ulinzi na usalama imekaaje

    Mkuu vipi usaili wa TAA kwa upande wa practical walitoa maswali gani???
  8. P

    JamiiForums Tanzania Interview kwenye vyombo vya ulinzi na usalama imekaaje

    Kwani mkuu ndugu wakijua kuna ubaya wowote, nauliza tu mkuu???
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau msaada jinsi ya kutafuta laptop iliyopotea

    Hapo ulitakiwa upate MAC Address ya hiyo laptop ingekusaidia ila ip address sidhani kama itakusaidia.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ma-IT wa NECTA mjitathmini

    Ni kweli mkuu jibu langu ni analogy, ndio maana hapa TZ system yenye shida ni moja tu, system nyingine zote ziko fresh wala hazina shida.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ma-IT wa NECTA mjitathmini

    Kwa mfano wewe ndio ungekuwa IT NECTA halafu ukandaa bajeti ya kuweka server zenye high performance ila jibu likaja negative kwenye hiyo bajeti uliyoomba, je wewe kama wewe ungefanyaje?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Ma-IT wa NECTA mjitathmini

    kwani wakati watu wana apply loan board ilikuwaje, mbona walikuwa wanalalamika kuwa hata usiku wa manane system ilikuwa inasumbua. hao nao vipi, ni kwamba system nyingi za hapa kwetu huwa haziwezi kuhudumia watu wengi kwa wakati mmoja.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ma-IT wa NECTA mjitathmini

    sasa mkuu hapo nimetetea nini, hiyo issue inayotokea kwa necta hata kwenye vyuo vyetu huwa inatokea pindi wakitoa matokeo.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ma-IT wa NECTA mjitathmini

    hii kitu ni balaa, aina gani hizo
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ma-IT wa NECTA mjitathmini

    Kwa hiyo unahisi wewe peke yako ndio unaweza kuvizia usiku, facebook ni kitu kingine kabisaaaa, huwezi linganisha hapoo, hilo ni kosa, hapo unafanya uonevu mkubwa sana kulinganisha hivyo.
Back
Top Bottom