Ma-IT wa NECTA mjitathmini

Ma-IT wa NECTA mjitathmini

Ni wakati sasa kuacha kuwekana ndugu katika ofisi huku mnao weka hawana uwezo na hizo kazi ki ukweli It department ya hapo NECTA hawafanyi kazi vilivyo server inakuwa busy kiasi kwamba watu wanashindwa kupata matokeo..... vijana tumesoma IT na mambo kama hayo ni rahisi kuyatatua yaani ni sawa na kusukuma mlevi lkn kutokana kujazana ndugu na wasio na taaaluma hiyo ndio maana mna aibiki.....IT sio matako kila mtu anayo hiyo ni professional ya kuheshimu sasa sijui server zenu siku mkitumiwa vrs sijui sipo secure kiasi gani.....
 
Hapo shida ni requests zinaweza kuwa nyingi kuliko uwezo wa server. Wanatakiwa watumie distributed database na mutiple access ya site kwa kutumia prox .
 
Sio kwamba imedukuliwa la hasha, ni kwamba watu walipopata taarifa kuwa matokeo yametoka basi watu wote wakaanza kuifungua hiyo website ili waweze kuangalia hayo matokeo, sasa kinachotokea ni kwamba website inazidiwa uwezo wa kutoa huduma kwa watu wengi kwa wakati mmoja ndio maana unaona ukijaribu kuingia kwenye hiyo site unapata huo ujumbe. walichotakiwa kufanya hao jamaa ni kuyaweka hayo matokeo sehemu tofauti tofauti, mfano wangeweza kuweka na kwenye website ya wizara ya elimu, ili kupunguza idadi ya watu.
Jibu lako ka kianalojia sana, usirudie kutoa jibu kama hili tena, kwa maendeleo ya teknolojia yalipofikia ukitoa jibu kama hili hufai kwenye hio ofisi
 
Duuuh ndug yang umeongea jamb zuri lakin umeshindwa kukumbuka wakati.
Enzi za mtandao kuzidiwa zilikuwa 2010 kushuka chini (kwa dunia ya sasa)
Lakini miaka ya sasa, ukiona mkuu wa idara kama NECTA anatoa sababu hiyo, basi futa kazi mara moja
Facebook ina-access ya dunia nzima na haijawahi kuzidiwa, hawa NECTA wana-access ya watu chini ya 20mil, na wanazingua miaka yote.
Nimeshindwa kuona matokeo ya shule yangu hadi muda huu, si necta, wala blog inayofunguka.
Video ina-play online, lakin maandishi ya NECTA hayafunguki
Kwa mfano wewe ndio ungekuwa IT NECTA halafu ukandaa bajeti ya kuweka server zenye high performance ila jibu likaja negative kwenye hiyo bajeti uliyoomba, je wewe kama wewe ungefanyaje?
 
Jibu lako ka kianalojia sana, usirudie kutoa jibu kama hili tena, kwa maendeleo ya teknolojia yalipofikia ukitoa jibu kama hili hufai kwenye hio ofisi
Ni kweli mkuu jibu langu ni analogy, ndio maana hapa TZ system yenye shida ni moja tu, system nyingine zote ziko fresh wala hazina shida.
 
Sidhani kama unachosema ni kweli. Mwanzo nilidhani hivyo, nikajipa kazi kuvizia usiku muda ambao nilijua hata kama ni jam basi itakuwa imeisha lakini tatizo lipo pale pale. Hata kama hiyo ingekuwa ni sababu bado ni IT ya ubabaishaji. Wewe unafikiri ni watu wangapi wanaingia facebook kwa sekunde moja?
Kabisa hata mimi nilipitia njia kama zako mkuu ila ikawa hola
 
Sio kwamba imedukuliwa la hasha, ni kwamba watu walipopata taarifa kuwa matokeo yametoka basi watu wote wakaanza kuifungua hiyo website ili waweze kuangalia hayo matokeo, sasa kinachotokea ni kwamba website inazidiwa uwezo wa kutoa huduma kwa watu wengi kwa wakati mmoja ndio maana unaona ukijaribu kuingia kwenye hiyo site unapata huo ujumbe. walichotakiwa kufanya hao jamaa ni kuyaweka hayo matokeo sehemu tofauti tofauti, mfano wangeweza kuweka na kwenye website ya wizara ya elimu, ili kupunguza idadi ya watu.
Mkuu hiki unachokisema si kipya kwa watumiajia wa mitandao lakini hapa umekengeuka kidogo au hujang'amua tatizo liko wapi, ukweli ukiona jamii inalalamika hivi jua kuna jambo haliko sawa, NECTA hapa wamechemka sana au basi kuna tatizo liliwasibu katika ku upload haya matokeo, lakini wamezidi kushangaza kitendo cha kurundika majina bila hata kuyapanga kwenye mtiririko wa alfabeti sasa ina maana hawana hata wataalamu wa Mc Exel..ili kuwarahisishia kupanga majina ya shule kwenye mtiririko wa alfabeti? Hili tatizo walifanyie kazi lisije kujitokeza tena limeudhi sana kuliko takribani vipindi vyote vilivyopita.
 
Back
Top Bottom