Wadau msaada jinsi ya kutafuta laptop iliyopotea

Wadau msaada jinsi ya kutafuta laptop iliyopotea

wanajamvi naamini hakishindikani kitu huku
nimeibiwa laptop hp na ip address zake ninazo pamoja na last login email information
nitafanya nini ili niweze kuipata msaada kwa wataalamu wa hayo mambo
Hapo ulitakiwa upate MAC Address ya hiyo laptop ingekusaidia ila ip address sidhani kama itakusaidia.
 
kijana, najua vyuma vimekaza, kilichobaki sahau iyo pc usipoteze mda wako na vijisenti vyako kuipata
jichange nunua mpya!
amna cha IP wala MAC address ITAKAYOSAIDIA!
 
Hapo uwez kuipat sahau tuu.. Mac adress haita kusaidia kitu... Maana kama anatumia modem itakuwa inasoma macaddress ya modem, na kila NIC kweny pc ina macaddress yake.. Kama wireless adapter inayo macaddress yake, lan ina netwk address yao hhv same as modem.... Kuhusu ip address hahaah usijisumbue mkuu.. Tafta hela nyingine
 
nimeipata kiongozi kwa hiyohiyo IP address kuna kitu kinaitwa ip address locator unasearch google to hapo then utapata latitude and longitude ambapo IP address hiyo ipo then unaenda kwenye google map unaingiza hizo longitude na latitude then tafuta ila enable satelite view utaona sehemu ilipo so unaifuata tuu kama unahitaji usalama unaweza kata rb kwanza hii nilipata kwenye forums linaitwa ilinitumia muda ila huu ni mrejesho tuu

nyongeza kama unataka kupata IP address ya PC yako tumia PC kulogin kwenye email yako then mwisho wa email box tafuta sehemu kumeandikwa activity click hapo utapata ip adress ya vifaa vyote ulivyotumia kulogin kwenye email yako

acha uwongo, ip address inakua assigned kupitia wifi/modem adapter unayoitumia ikiwa dynamic (hubadilika) kila mara unapo ingia net , pc yenyewe haina IP (fixed) , rejea comment ya rootadmin juu apo

Kawadanganye vilaza wenzako!!
 
nimekuelewa sana basi itakuwa modem ndio sabab coz alichukua vyote labda aliendelea kuitumia kwenye pc hiyo ila Kwan address ya modem haibadiliki
rudi kasome networking na IP kaka, IP ya ku browse net anakupa ISP wako kupitia modem yenye line, HUBADILIKA kila mda unapo surf kwa intaneti !!
watu wana akili zao timam humu izo janja zako peleka uko
 
Kijana hakuna namna utaipata hio PC , Yani kwa inshu ya kusema sijui IP apo una fail sana Kumbuka ISP anakupa IP address kila muda una ingia na kutoka net, Ip tofauti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom