Recent content by Pung'o boy

  1. Pung'o boy

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    hio BVLGARI naipta wap maana nshaitafuta sana bila mafanikio
  2. Pung'o boy

    Rais John Magufuli afanya teuzi nne kwa mpigo katika nafasi mbalimbali

    Mwenyekiti wa NBAA ndio Bado [emoji22]..... Matokeo yetuu sijui lini yatatoka
  3. Pung'o boy

    Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

    Mtaalamu natafuta walimu wazuri wa physics na chemistry nina mdogo angu nataka nimpeleke tuition
  4. Pung'o boy

    Series (Special thread)

    Bado inaendelea kutoka, natumia eztv.ag kudownload ila had uwe na torrent
  5. Pung'o boy

    Series (Special thread)

    Yan saiv namfatilia roman tu ndio kuna kistory kinaendelea
  6. Pung'o boy

    Series (Special thread)

    Ile arosto inapungua tatizo huwez hata kuwazia sijui kitaendelea nin
  7. Pung'o boy

    Series (Special thread)

    Talk of the town
  8. Pung'o boy

    Series (Special thread)

    Hamia airtel ila nako saiv wamebana, saiv tunadoea tu Wi-Fi
  9. Pung'o boy

    Series (Special thread)

    Kuna nyingne zinakua angalau maana kuna kua kuna story kubwa nyuma inayo connect ila nyingne zinakua zina kastory kadogo tu na hakapo interesting kama blindspot 3 ilivyo sasa had inaboa asee bora zile zilizopita
  10. Pung'o boy

    Series (Special thread)

    Haha nachopenda kila muvi wa Russia ni watabee balaa yan don't mess with Russians
  11. Pung'o boy

    Series (Special thread)

    Ila sizipend series ambazo kila episode inakua na story yake huwa zinanikera sana
  12. Pung'o boy

    Series (Special thread)

    [emoji23] [emoji23] na ukifatilia zaidi likija suala la sijui army trafficking, na silaha za ajabu ajabu wanakua warussia, kujilipua waarabu likija swala la drugs bas Mexican au asian halfu wamarecan wao ndio wazee wa kuweka mambo sawa
  13. Pung'o boy

    Series (Special thread)

    Saivi naangalia the Americans, blindspot, lethal weapon na homeland
  14. Pung'o boy

    Series (Special thread)

    Aah sasa hivi bana kila season ina story yake, ila 6 & 7 zina story moja... Ule mzuka umeisha kabisa aisee
  15. Pung'o boy

    Series (Special thread)

    [emoji23] [emoji23] kanyongwa asee ila ni season 2 bana sio 4
Back
Top Bottom