Recent content by Pumu

  1. P

    JamiiForums Tanzania Wapi nitanunua vocha za jumla na mimi niuze jumla kwa Dar es Salaam?

    Ili uwe Mteja wa jumla inatakiwa ununue za kuanzia shilingi ngapi?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo bora chenye tija na maendeleo

    Kutoka ki maisha kupitia kilimo ni ngumu sana chukulia Mfano kilimo cha mahindi, Pembejeo na gharama za uendeshaji hicho kilimo ziko juu, Mkulima anawekeza fedha, akili na muda wake lakini soko baadae linakua HOVYO. Inafikia gunia linanunuliwa kwa 25,000/. Hasara
  3. P

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Umeichambua mada vizuri sana na nimeielewa sana. Barikiwa sana ndugu
  4. P

    JamiiForums Tanzania Uchi wa mbuzi

    Mh
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Mh unatafta Wa dar? Vipi kuhusu jinsia yako?.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Karibu chatroom: Uliza chochote kuhusu makaburini, mochwari na wafu

    Nini tofauti mtu akiwa kafa bado yuko mochwari na akilazwa kaburini?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Habari ya Uumbaji.Version 3

    Mada Ngumu sisi watu Wa dar tunapenda vitu laini laini tu. Langu jicho
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Ndo nafasi hiyo itumie unaweza kuta ndo yule yule Wa mtaani kwenu alo kuzingua asa huenda mkikutana huku mkapendana Japo wengi wao ndo wale walo acha juzi kujiuza baada ya soko kua gum
  9. P

    JamiiForums Tanzania Huyu kaka ananifanya nifall in Love

    Najijua ni Mimi ngoja nije maana huu ndo muda wenyewe Wa maangamizi
  10. P

    JamiiForums Tanzania Osha mikono baada ya kushika hela

    Pesa hata kama ikawa na kinyesi thamani yake ni ile ile hivyo mi nilifikiri kuanzia Leo unaachana kabisa na matumizi ya pesa kwa ulicho kishuhudia
  11. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko zuri la mahindi

    Bora huko Huku kwetu 36000
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu tuache ulaji wa hovyo hovyo tujitahidi kua katika muonekano mzuri.

    Umekosoa lakini hujaeleza tule nini na kwa kiwango gani na kwa wakati gani.
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kwenu kina dada wenye umri wa miaka 31-50

    Hahahaaa wanakwambia utakuaje na mwanaume ambae hata mtaani ni aibu kuongozana NAE?. Wakae wasubiri. Ushauri nimeupenda
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu dada kanibaka naombeni ushauri hatua gani za kisheria nichukue

    Nyie wanaume Wa dar mbona mnatia aibu hivyo?
  15. P

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania, hii mvua Dar usiku wa leo mliiona?

    Hua wanatumia nyungo kujua taarifa za angani ndo maana zingine hua wanazikosa
Back
Top Bottom