JamiiForums Tanzania
Sitasahau
Wapendwa leo kuna tukio la kuhuzunisha limenitokea. Nilikuwa nimesimama maeneo ya Ubungo nikisubiri gari, ghafla nikamuona mama mtu mzima analia kwa sauti kubwa, mda huo huo nilikuwa nimeshika simu yangu nachati na mtu. Ikanibidi nisogee karibu ili nijue ni nini kimemtokea yule mama, kumbe yule...