Nimenyonya titi lenye kidonda ila mimi sina kidonda mdomoni naweza kupata UKIMWI?

Ndugu wanajamii juzi kati kuna demi alikuja ghetto, kiukwel nilimnyonyo chuchu zake baada kumaliza tendo LA ndoa nilishangaa kuona kidonda tetesi za kitaa demu ni mwathirika je naweza Kupata ukimwi

Sema mkuu me nakuita enterprenuer wazee wa ku take risk we demu mtaani wanadai kaathirika lakini ukaamua kuwapotezea ukale tunda
Anyway nenda kapime now na baada ya miezi mitatu hapo utakua na hakika
 
Kama tetesi zinasema demu ana ngoma we ulikula sasa ushauri unataka wa nini? Kama ulivyojizila basi jizile maana wewe hata kupima hakuna haja anza tu kumeza ARV, fanya mazoezi na kura vizuri ha ha haa
 
Akili zetu bwwana sjui zinakuaje wanaume muda mwengne,,, Umesikia tetesi ameathirika na bado ukamla bila kuwa makin sasa hv unahitaji ushaur...
Kumwandaa nilimnyonya ziwa kumbe linakidonda ila nilitumia kinga baada ya kumnyonya nilitema mate mdomoni kwangu cna kidonda nilisukutua na maji kuhakikisha cna kidonda niliweka chumvi mdomon kihakiki
 
Ndugu wanajamii juzi kati kuna demi alikuja ghetto, kiukwel nilimnyonyo chuchu zake baada kumaliza tendo LA ndoa nilishangaa kuona kidonda tetesi za kitaa demu ni mwathirika je naweza Kupata ukimwi
Ni jambo dogo sana usiogope halafu kupata ukimwi ni kazi ngumu sana tena sana
 
Ndugu wanajamii juzi kati kuna demi alikuja ghetto, kiukwel nilimnyonyo chuchu zake baada kumaliza tendo LA ndoa nilishangaa kuona kidonda tetesi za kitaa demu ni mwathirika je naweza Kupata ukimwi
Kaa kama mwezi nenda ukapime ngoma uishi kwa jamani na acha hiyo tabia ya kunyonyanya gizani!!
 
Kuugua ukimwi sio kazi ndogo nikaz kubwa sanaa nanaona umejaribu kuimaliza umefanikiwa ukimwi upo na unaua kapime
 
Kumwandaa nilimnyonya ziwa kumbe linakidonda ila nilitumia kinga baada ya kumnyonya nilitema mate mdomoni kwangu cna kidonda nilisukutua na maji kuhakikisha cna kidonda niliweka chumvi mdomon kihakiki
Unauhakika gani huna kidonda daw ni kwenda kupima hakuna atakae kupa moyo humu mkuu ila unaonekana ulikua unamaganzi mpk wakisiwa wa vvu umetafuna salute kwako mkuu

NOTE:CHAPUTA NI BORA KULIKO MALAYA
 
Ndugu wanajamii juzi kati kuna demi alikuja ghetto, kiukwel nilimnyonyo chuchu zake baada kumaliza tendo LA ndoa nilishangaa kuona kidonda tetesi za kitaa demu ni mwathirika je naweza Kupata ukimwi

usiogope..jibu ni ndio,unaweza kuupata!
 
Yaani hadi kidonda hukukiona au kama ulikiona hukuogopa?
Bila shaka hata kondom hukutumia kabisa.

Tunajitoa ufahamu hasa kichwa cha chini kikishasimama wima,
Tunauza mechi sana.
 
Nenda kapime kujua status yako lakini subiri miezi mitatu huku gigantic ngono zembee
 
Back
Top Bottom