Recent content by public servant

  1. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kamishna Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania(IGP)

    sawa, tumtakie kazi njema na Utumishi mwema katika cheo chake kipya
  2. P

    JamiiForums Tanzania top three

    come again please
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

    mbona online sjapata live stream maelekezo kwa anayepata tafadhali
  4. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

    Nimesoma sehemu baadhi ya majukumua ambayo zito na Kamati yake wanatakiwa kuyatekeleza katika kipindi hichi kifupi kama mkutano na ewura na kesho tuko na tanesco keshokutwa AG, Tra chief, gavana bot wanakuja kuhojiwa na PAC kuhusu mabilioni ya uswisi nikaona kamati ya PAC itapwaya sana bila ya...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

    Naomba kuelekezwa wapi nitapata daktari wa magonjwa ya Mgongo nipo DSM nasumbuliwa na matatizo ya mgongo wa chini(Lower Back) na pia kama kuna mwenye ushauri nitashukuru kwa msaada pia
  6. P

    JamiiForums Tanzania Up date zozote kuhusu TIB BANK!!

    mbona haraka sana wape wape mda wakuchek kama vyeti uja gush then watakuita
  7. P

    JamiiForums Tanzania CCM and UDASA, this is shameful

    ni kweli sio wanafunzi wanafunzi wapo likizo wameletwa na UDA
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

    Hao sio wanafunzi wa chuo kikuu, hao ni chadema, ccm, cuf na Nccr wanafunzi wapo likizo
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ile mvua iliyotabiriwa kunyesha Dar es Salaam naona imeanza Rasmi

    Nipo jengo flan hapa Dsm umekuja upepo wenye nguvu mbaya kabisa ghafla mvua kubwa imeanza kunyesha kama mamlaka ya Hali ya Hewa ilivyotabiri wale wa mabondeni jamani muhame Serikali ya Mkoa ilishasema haitawasaidia this time na mimi kwa niaba ya wananchi na sema hatutawasaidia cause mmeshaambiwa...
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje Kutambua mahali ilipo simu kwa kutumia IMEI au serial number

    subiri wanasayansi waseme we kajadili siasa
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje Kutambua mahali ilipo simu kwa kutumia IMEI au serial number

    nimenunua teyari ila nataka kuipata na iliyopotea
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje Kutambua mahali ilipo simu kwa kutumia IMEI au serial number

    Naomba kwa anayefahamu wapi kwa Dar es Salaam au Arusha naweza kupata msaada wa kutaftiwa simu yangu iliyoibiwa, Nimeambiwa hiyo kitu inafanyika now, ni smart phone Nokia lumia na nakumbuka IMEI number zake.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Any updates from Sumatra?

    Any body with informations from Sumatra on the the post they advertised at the end of 2013 please help, I heard that their calling candidates, is it for oral or written interview any body with the informations.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri, njia sahihi ya kutibu ngozi ya msichana aliyewahi kutumia mkorogo

    Bora ungekaa kimya kama wenzio wasiojua walivyofanya hizi post zinazoitaji utaalam sio lazima wote tuchangie wengine tunakuwa wasomaji.
Back
Top Bottom