Recent content by Psychoanalysis

  1. Psychoanalysis

    JamiiForums Tanzania Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

    Ndio umeandika nini sasa, nakuja Zanzibar kula nitakula ole wake anishike mtu.
  2. Psychoanalysis

    JamiiForums Tanzania Ni ahadi zipi zilitolewa na kiongozi wako ambazo hazijatekelezwa mpaka sasa?

    Watu waliweka ahadi za kupigwa bun, lakini nyinyi mmeshindwa kutimiza. Kwahiyo nyinyi ni wa kwanza kwenye jambo hili
  3. Psychoanalysis

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Yanga tunafanya hivi?

    Kwani nani aliyesema tunataka support yenu ? Nyinyi si ndio mliita press conference kuwa tuwe kitu kimoja ilhali nyinyi ndio vinara wa kupokea timu pinzani. Tukiyasema haya mnapokea timu pinzani, wenzako wanakataa, tazama huko juu pumba walizokuwa wakitema.
  4. Psychoanalysis

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Yanga tunafanya hivi?

    Bora hata wewe umekili, siyo kama wenzako huko juu wanakataa
  5. Psychoanalysis

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Yanga tunafanya hivi?

    Kwahiyo mlikuwa sahihi mlichokifanya ? Hivi mpaka Raisi wa TFF akemee bado utasema mipango ya ndani ni kuwa kitu kimoja ??? Kweli Yanga wenye akili wawili tu
  6. Psychoanalysis

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Yanga tunafanya hivi?

  7. Psychoanalysis

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Yanga tunafanya hivi?

    Na vipi pale Raisi wa TFF alipozionya timu zinazopokea wapinzani alikuwa muongo au ?
  8. Psychoanalysis

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Yanga tunafanya hivi?

    Yani unasema propaganda wakati video na picha zipo, kuna mtu kaweka video juu hapo mkipokea mashabiki ni uwongo huo ??
  9. Psychoanalysis

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Yanga tunafanya hivi?

    Pamoja na kuwawekea video watasema ni propaganda
  10. Psychoanalysis

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Yanga tunafanya hivi?

    Mliwahi omba radhi kwa hili ?
  11. Psychoanalysis

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji na uongo wa huyu Mchina siwezi kuukalia kimya

    Video iko wapi ?
  12. Psychoanalysis

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haiajiri Madaktari (MD) wakati kuna upungufu mkubwa, inaajiri CO (Clinical Officers) na manesi?

    Duuh ndio kwanza nasikia, ila ngoja waje MD wakutukane
  13. Psychoanalysis

    JamiiForums Tanzania Bsc in Radiology and Physiotherapy

    Toa mfano hata mmoja
Back
Top Bottom