Recent content by ps.yohana

  1. P

    Mwananchi aunga mkono kodi ya transactions za mawasiliano (mobile traffics)

    ok nakusifu umetoa mtazamo wako kwa poits zinazoeleweka, but acha kuangalia watu walio karibu yako tu angalia wananchi wa kijijini pia wanaoishi chini ya dola moja kwa siku. so vocha ya jelo wiki nzima, kwa hayo unategemea nini?
  2. P

    City wachapwa tena sauz

    halali yao coz league ya sauz haina mizengwe ka ya bongo.
  3. P

    wabongo tunaweza mchezo gani?

    Hivi wabongo mchezo gani utatutoa kimataifa? coz boll ndo hivyo majanga tu.nikumbusheni jamani mchezo gani huwa tukishiriki unatutoa faster. au tuwekeze mchezo gani? ili tuondoe haya majanga ya kufungwafungwa ka mlago wa toilet?
  4. P

    Chemsha bongo

    Duh, necta ijayo inabidi ushiriki kaka, ili uendeleze record.........ya matokeo
  5. P

    Binti akimtambulisha mchumba wake kwa baba yake

    Duh! mshua nimemkubali katoa jibu la ukweeee.katoa fundisho kwa watoto wanaowasumbua wazazi kisa mchumba wa facebook.
  6. P

    Mwajiri atumiwa uchawi baada ya kumfukuza mwajiriwa kazi

    Duh! hii ndo noma thatha waajiri mjipange "NOMA KWELI MSHIKAJI WANGU"
  7. P

    Hii ndo top 10 ya wanahiphop bora Bongo....

    hii ndo top 5 ya wanahiphop itakayodumu milele bongo fid. q mwana fa jay mo nikki wa pili stamina toa mtazamo wako unaikubali list hii kwa asilimia ngapi? je nani hafai kuwepo?NOTE; "CHUKI BINAFSI HAZIHUSIKI"
  8. P

    Unafiki wa prime time promotion

    wanaolalamika wengi ni chuki binafsi but not maaslahi, kama inshu ni maaslahi si ku mikataba jamani?
  9. P

    Unafiki wa prime time promotion

    Acha hizo, mbongo mwenzangu kwa nini hamusemi mazuri mnabaki kujadiri mabaya tu? coz no business without profit meeeen!
  10. P

    Unafiki wa prime time promotion

    Acheni kuwa haters, prime time promotion ni kampuni ya ukweli ndo maana wajanja tunaikubali na tunaisuport coz jamaa wanajua wanachokifanya.
  11. P

    Diamond anaswa akifuturu na kimada wake, maustadhi wamcharukia na kugeuka mbogo..!!

    jamani msishangae sana kuona hivyo, cause tabia ya mtu ni kama ngozi au kivuli chake so mchukulieni poa kwani mwenyewe anajiita kipenzi or sukari ya warembo.
Back
Top Bottom