Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,139
ha haa, bado nawanga mdogo wangu.....
na wewe hujalala?
Nahisi kipande hiyo jua hua linachelewa kuzama
ha haa, bado nawanga mdogo wangu.....
na wewe hujalala?
Mzee anaona wanamchanganyia habari tukwa..kwa...kwaaaaa!!!!
mshua oyeee! ..hawa watoto wa digitali bwana!
angemkubalia mtoto wake aone mambo ya digital.
ha haaa, za mpitimbi
Me sijamboMiss you soooo much my dear!
How are doing?
Lol, hii kali
Upo bibie?
Nipo mwingi tuu
Ulipotelea wapi wewe? Maana nimekutafuta hadi mvunguni mwa kitanda changu lakini sijakuona.
ha haa, bado nawanga mdogo wangu.....
na wewe hujalala?
Mbona hata sijaona nyayo za miguu yako, au hujapita upande huu mwingine? Mie nipo bwana sema wantafuta huku umezima taa. Wee chungulia huku utaniona