Recent content by prucho

  1. P

    Acha wafunge mipaka tutakutana tena

    USIOGOPE SHIKILIA HAPO HAPO. Na, Mwl. Pasaka O. Rucho. Aliyewahi kuwa Rais wa Marekani aliwahi kusema "the only thing we have to fear is fear itself" kwa lugha yetu jambo pekee tunalopaswa kuliogopa ni uoga wenyewe. Kuna sintofahamu kati yetu Tanzania na ndugu zetu wa jumuiya ya Afrika...
  2. P

    Kiongozi lazima akaze sauti vitani

    LAZIMA KIONGOZI AKAZE SAUTI KWENYE MAPAMBANO. HONGERA RAIS JPM. Na,Mwl.Pasaka O. Rucho. AFISA MTENDAJI KATA YA TAI RORYA. Leo tarehe 03/05/2020 nilikuwa nafatilia hotuba bora kabisa wakati huu wa janga hili la CORONA iliyotolewa na mh.Rais Magufuli akiwa anamwapisha Comrade Mwigulu Lameck...
  3. P

    Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

    Na, Mwl, Osunga Pasaka Jr. ZITTO KABWE ULITAKA HITLER AFANYEJE?? Nimepitia mitandao ya kijamii nikaona tweet ya huyu kijana akidai haya yalifanywa na Hitler? Hivi kweli unamjua Hitler? Mara baada ya vita vya kwanza vya dunia 1914-1918, Hitler pamoja na rafiki yake Austria walishindwa vibaya...
  4. P

    Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

    HONGERA KWA ZAWADI NZURI KWA WAFANYAKAZI MH.RAIS. By Mwl.Osunga Jr. Mwaka 1949 bada ya muda mrefu wa vita na hatimaye mapinduzi ya CHINA yaliyochochewa na Communist party kilichoongozwa na Mao Tse Tung dhidi ya chama cha mabeberu cha Kumunitang kilichoonzwa na Kaishek Isen. Mao aliweza...
  5. P

    Mwaka 2020, tunaomuunga mkono, kufurahishwa na kuridhishwa na Rais Magufuli tutajitokeza, kumpigia kura na kumpa ushindi wa kishindo

    SISI MARA NI KAZI TU. Na, Mwl. Osunga. Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Samweli Kiboye amesema hakuna muda wowote wa kupoteza kama chama kutafuta mgombea mwingine wa Uraisi kwa kipindi cha sahizi kwani Rais Magufuli yupo na anatekeleza ilani kwa vitendo na hana hata mawaa katika utekelezaji huo...
  6. P

    SANYA YALIKUSHINDA TULIA.

    SANYA NA MAKUNDI YAKO MTUACHE TUTEKELEZE ILANI. (Sehemu ya kwanza) Binadamu ni kiumbe ambaye hatosheki wala haambiliki kwa wakati Fulani, Mwaka Jana aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara aliweza kusimamishwa na kamati kuu ya CCM kwa tuhuma ya kukihujumu chama cha mapinduzi katika uchaguzi wa...
  7. P

    Ujumbe kwa makada wote wa CCM wanaomkashifu Askofu Zakaria Kakobe na maneno yake

    andiko hili limejaa kila aina ya upupu na hakuna la kujifunza zaidi ya kusifia watumishi waliogeuza mimbari eneo la kuuzia Sera za kisiasa kakobe achichunguze baadae achukue hatua
  8. P

    Nani kakuambia Kenya wanatuzidi demokrasia?

    NANI KAKWAMBIA UHURU KENYATTA ANAPASWA KUIGWA KWA DEMOKRASIA? Na Mwl.Osunga Pasaka. Tangu kampeni za uchaguzi wa Kenya zinaanza mpaka leo nimekua mfatiliaji sana wa kampeni hizo na haswa nakubaliana na namna katiba yao iliyotafutwa kwa muda mrefu chini ya comrade Raila Amollo Odinga ambaye...
  9. P

    Hapana tufikiri vizuri sehemu ya 1.

    HAPANA TUFIKIRI VIZURI. Sehemu 1. Mara nyingi nchi yetu toka Uhuru imekuwa ikiiendeshwa na matukio yaliyoratibiwa kisayansi na kupoteza dira nzima ya mwonekano wa Taifa. Agenda muhimu za kitaifa sasa zimepotezwa na matukio kama ya madawa ya kulevya ambayo watuhumiwa wengi wamepewa dhamana...
  10. P

    MwanaHALISI: Msaidizi wa Mbowe kuibuka... Ni Ben Saanane

    Kwa habari zote hizi kwa vipindi tofauti mlilishangilia gazeti la mwanahalisi na mkamwona Kubenea shujaa mkampa na nafasi ya kugombea na ubunge kupitia chama chenu. Akazungumzia na kashfa tete ya RICHMOND mkamwona shujaa na akaonekana anaandika uwazi na ukweli usiopingika kipindi hicho mmoja...
  11. P

    Mbowe aenda na jina la Msigwa mfukoni, Olle Sosopi atemwa

    Katika uchaguzi wa Gambia alishinda Barrow hata Mzee Jammeh akakubaliana na hali ila mambo yakabadilika baada ya wafuasi wake kumshinikiza asiondoke madarakana kwani upinzani ulitaka kumpeleka the Hague hadi Leo Gambia hali ya kisiasa,kiuchumi haijakaa vizuri. Lengo la chama chochote cha siasa...
  12. P

    Bring back our ajira

    Bring back our ajira. Hatutaki mchezo na maslahi yetu binafc tumepoteza muda wa miaka kumi na nane mnatuhakikishia ajira zitatoka baada ya zoezi la uhakiki baadae mnaghairi. Bring back our ajira we mwenyewe ndo ulitusainia vyeti vyetu vya art unavyovihita sanaa Leo mnatuona wa kazi gani? Kwann...
  13. P

    Jafo na Simbachawene mnangoja nini kujiuzulu?

    Busara haijatumika.
  14. P

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Hivi hawa waandishi wanashindwa kuuliza swali la ajira?
Back
Top Bottom