Nani kakuambia Kenya wanatuzidi demokrasia?

prucho

Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
39
Reaction score
94
NANI KAKWAMBIA UHURU KENYATTA ANAPASWA KUIGWA KWA DEMOKRASIA?

Na Mwl.Osunga Pasaka.

Tangu kampeni za uchaguzi wa Kenya zinaanza mpaka leo nimekua mfatiliaji sana wa kampeni hizo na haswa nakubaliana na namna katiba yao iliyotafutwa kwa muda mrefu chini ya comrade Raila Amollo Odinga ambaye amekuwa ni mwanasiasa mwenye mikakati mingi, katiba yao hiyo imefanikisha kufikia hiki tunachokizungumza Leo.
P
Nani kakwambia Uhuru ni Mwanademokrasia Africa?

1.Mmesahau Uhuru Kenyatta alipatwa na kesi the Hague mara baada ya uchaguzi Mkuu yeye pamoja na Willium Ruto baada ya vita vya uchaguzi wa 2007?, mlitarajia mara baada ya kesi ya mahakama ya juu Uhuru aseme moja kwa moja tunaenda barabarani?.

2. Katika mazungumzo Yake kwa Taifa Jana alisema hakubaliani na mahamuzi ya tume lakini anayaheshimu, hivi ninyi watanzania kiswahili pia ni shida? Hamkuelewa nini hapo? , alienda mbali kwa kusema watu sita hawawezi batilisha maamuzi ya watu milioni Arobaini, hii nayo mnaiita demokrasia? kwani amesahau ni katiba ndiyo imewapa watu hao mamlaka hiyo kama ambavyo imewapa yeye na Ruto,

3. Akiwa anazungumza na wafuasi wake anadiriki kusema Matokeo yamefutwa na wakora???????? Hivi wewe unayemwita Kenyatta ni mwana demokrasia unajua maana ya UKORA?????,

Mahakama ambayo imegundua uhuni uliofanywa na tume ya uchaguzi kupitia mawakili wa pande zote tatu unapata wapi mamlaka ya Kuwaita WAKORA

Mtanzania mwenzangu unapata wapi nguvu za kumsifu Kenyatta ni mwana demokrasia au ni kwa kumtisha jaji Maraga "na wakora" wenzake kwa kuaapa mbele yao kuwa wamefuta uteule tu lakini yeye ni Raisi na atawaonesha:

Tusitumie chuki zetu ambazo baada ya kunyooshwa sasa mnataka kutufanya sisi watanzania tuige upuuzi na ujinga ambao ulitokea kwa uchaguzi wa Kenya.

Kwani Katiba pendekezwa ambayo baadhi ya wanasiasa waliipinga kwa kutoka nje si imeonesha uwepo wa mahakama ya juuu Krakatoa hug bulimia uchaguzi zetu.

Uhuru anatuzidi kwa lipi?

Naiona Kenya isiyo salama tena, Kenya yenye utawala wa visasi kwa muda wa Siku 60 kwa mwamvuli wa demokrasia.

USHAURI
Wanasiasa Watanzania tuache unafiki na pongezi za ajabu kwa kujidai kuwa Kenya kupitia Uhuru Kenyatta kuna demokrasia kubwa kuliko sisi na mkajisaulisha kuwa anahofu ya kurudi HAGUE, Na hata body language Yake aioneshi demokrasia huyu ni sawa na ndege aitwae CHICHIDODO.
 
We ndio mwalimu k laza nchini unatumia tumbo badala ya ubongo kufikiri
 
Kwa walimu kama hawa tutegemee CWT ya aina gani? Halafu ukute ni kiongozi Wa walimu wilayani kwake!! Hii fani ya ualimu kuna watu wanaitia nuksi.

ACHA nikae KIMYA...!
 
NANI KAKWAMBIA UHURU KENYATTA ANAPASWA KUIGWA KWA DEMOKRASIA?

Na Mwl.Osunga Pasaka.

Tangu kampeni za uchaguzi wa Kenya zinaanza mpaka leo nimekua mfatiliaji sana wa kampeni hizo
na haswa nakubaliana na namna katiba yao iliyotafutwa kwa muda mrefu chini ya comrade Raila Amollo Odinga ambaye amekuwa ni mwanasiasa mwenye mikakati mingi, katiba yao hiyo imefanikisha kufikia hiki tunachokizungumza Leo.
Nani kakwambia Uhuru ni Mwanademokrasia Africa?
1.Mmesahau Uhuru Kenyatta alipatwa na kesi the Hague mara baada ya uchaguzi Mkuu yeye pamoja na Willium Ruto baada ya vita vya uchaguzi wa 2007?, mlitarajia mara baada ya kesi ya mahakama ya juu Uhuru aseme moja kwa moja tunaenda barabarani?.
2. Katika mazungumzo Yake kwa Taifa Jana alisema hakubaliani na mahamuzi ya tume lakini anayaheshimu, hivi ninyi watanzania kiswahili pia ni shida? Hamkuelewa nini hapo? , alienda mbali kwa kusema watu sita hawawezi batilisha maamuzi ya watu milioni Arobaini, hii nayo mnaiita demokrasia? kwani amesahau ni katiba ndiyo imewapa watu hao mamlaka hiyo kama ambavyo imewapa yeye na Ruto,
3. Akiwa anazungumza na wafuasi wake anadiriki kusema Matokeo yamefutwa na wakora???????? Hivi wewe unayemwita Kenyatta ni mwana demokrasia unajua maana ya UKORA?????,
Mahakama ambayo imegundua uhuni uliofanywa na tume ya uchaguzi kupitia mawakili wa pande zote tatu unapata wapi mamlaka ya Kuwait's WAKORA

Mtanzania mwenzangu unapata wapi nguvu za kumsifu Kenyatta ni mwana demokrasia au ni kwa kumtisha jaji Maraga "na wakora" wenzake kwa kuaapa mbele yao kuwa wamefuta uteule tu lakini yeye ni Raisi na atawaonesha:

Tusitumie chuki zetu ambazo baada ya kunyooshwa sasa mnataka kutufanya sisi watanzania tuige upuuzi na ujinga ambao ulitokea kwa uchaguzi wa Kenya
Kwani Katiba pendekezwa ambayo baadhi ya wanasiasa waliipinga kwa kutoka nje si imeonesha uwepo wa mahakama ya juuu Krakatoa hug bulimia uchaguzi zetu.
Uhuru anatuzidi kwa lipi?
Naiona Kenya isiyo salama tena, Kenya yenye utawala wa visasi kwa muda wa Siku 60 kwa mwamvuli wa demokrasia.

USHAURI
Wanasiasa Watanzania tuache unafiki na pongezi za ajabu kwa kujidai kuwa Kenya kupitia Uhuru Kenyatta kuna demokrasia kubwa kuliko sisi na mkajisaulisha kuwa anahofu ya kurudi HAGUE, Na hata body language Yake aioneshi demokrasia huyu ni sawa na ndege aitwae CHICHIDODO.
Jamaa wewe una akili sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya uchaguzi kama uhuru atashindwa tutegemee umwagajidam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikichofanywa na Uhuru , alitakiwa akifanye JK kule Zanzibar, lakini JK alifanya mapinduzi kwa kumpindua rais mchaguliwa
Kwani hujui kuwa Hata Zanzibar hii style ya wizi wa kura ilitumika.Kama sio jecha wazanzibari wangekuwa washawekewa garasa.
 
NANI KAKWAMBIA UHURU KENYATTA ANAPASWA KUIGWA KWA DEMOKRASIA?

Na Mwl.Osunga Pasaka.

Tangu kampeni za uchaguzi wa Kenya zinaanza mpaka leo nimekua mfatiliaji sana wa kampeni hizo
na haswa nakubaliana na namna katiba yao iliyotafutwa kwa muda mrefu chini ya comrade Raila Amollo Odinga ambaye amekuwa ni mwanasiasa mwenye mikakati mingi, katiba yao hiyo imefanikisha kufikia hiki tunachokizungumza Leo.
Nani kakwambia Uhuru ni Mwanademokrasia Africa?
1.Mmesahau Uhuru Kenyatta alipatwa na kesi the Hague mara baada ya uchaguzi Mkuu yeye pamoja na Willium Ruto baada ya vita vya uchaguzi wa 2007?, mlitarajia mara baada ya kesi ya mahakama ya juu Uhuru aseme moja kwa moja tunaenda barabarani?.
2. Katika mazungumzo Yake kwa Taifa Jana alisema hakubaliani na mahamuzi ya tume lakini anayaheshimu, hivi ninyi watanzania kiswahili pia ni shida? Hamkuelewa nini hapo? , alienda mbali kwa kusema watu sita hawawezi batilisha maamuzi ya watu milioni Arobaini, hii nayo mnaiita demokrasia? kwani amesahau ni katiba ndiyo imewapa watu hao mamlaka hiyo kama ambavyo imewapa yeye na Ruto,
3. Akiwa anazungumza na wafuasi wake anadiriki kusema Matokeo yamefutwa na wakora???????? Hivi wewe unayemwita Kenyatta ni mwana demokrasia unajua maana ya UKORA?????,
Mahakama ambayo imegundua uhuni uliofanywa na tume ya uchaguzi kupitia mawakili wa pande zote tatu unapata wapi mamlaka ya Kuwait's WAKORA

Mtanzania mwenzangu unapata wapi nguvu za kumsifu Kenyatta ni mwana demokrasia au ni kwa kumtisha jaji Maraga "na wakora" wenzake kwa kuaapa mbele yao kuwa wamefuta uteule tu lakini yeye ni Raisi na atawaonesha:

Tusitumie chuki zetu ambazo baada ya kunyooshwa sasa mnataka kutufanya sisi watanzania tuige upuuzi na ujinga ambao ulitokea kwa uchaguzi wa Kenya
Kwani Katiba pendekezwa ambayo baadhi ya wanasiasa waliipinga kwa kutoka nje si imeonesha uwepo wa mahakama ya juuu Krakatoa hug bulimia uchaguzi zetu.
Uhuru anatuzidi kwa lipi?
Naiona Kenya isiyo salama tena, Kenya yenye utawala wa visasi kwa muda wa Siku 60 kwa mwamvuli wa demokrasia.

USHAURI
Wanasiasa Watanzania tuache unafiki na pongezi za ajabu kwa kujidai kuwa Kenya kupitia Uhuru Kenyatta kuna demokrasia kubwa kuliko sisi na mkajisaulisha kuwa anahofu ya kurudi HAGUE, Na hata body language Yake aioneshi demokrasia huyu ni sawa na ndege aitwae CHICHIDODO.
Ivi wewe ni mwalimu wa somo gani

Maana tangu nizaliwe sijawahi kuona mwalimu mwenye poor handwriting kama wewe mbaya zaidi hata ulichokiandika hakieleweki hata zile point muhimu hazionekani aisee,

Hebu nenda kajifunze kwanza kuandika vitu vinavyoelekaa
 
Back
Top Bottom