HAPANA TUFIKIRI VIZURI. Sehemu 1.
Mara nyingi nchi yetu toka Uhuru imekuwa ikiiendeshwa na matukio yaliyoratibiwa kisayansi na kupoteza dira nzima ya mwonekano wa Taifa.
Agenda muhimu za kitaifa sasa zimepotezwa na matukio kama ya madawa ya kulevya ambayo watuhumiwa wengi wamepewa dhamana tofauti na utaratibu wa kisheria, ambao uliwapasa wakae ndani mpaka kesi dhidi yao ikamalike, (ZOEZI LINAPASWA KUENDELEA KWA UMAKINI ILI TUWATOSE WATUMIAJI.)
Sasa nchi inajadili cheti cha Daudi Bashite vitu ambavyo havina umuhimu kwa maendeleo ya taifa vinahitaji utekelezaji tuu.
Tunapoifikiria Tanzania ya viwanda lazima tupige moyo konde kwenye kuwekeza sawasawa katika fikra zetu halisi, nimekuwa nikitazama namna vyombo vya habari vinavyokubali kuhamisha agenda kuu ya taifa na kuzungumzia vitu vidogo ambavyo kimsingi vinatuweka katika kutazama karibu na si mbali.
Hatumuhitaji Luther king kuja kutafsiri ndoto zilizokwisha tafsiriwa na waungwana, hatuhitaji wanasiasa kuja kusemea haya tunawahitaji watu wenye kariba ya usomi na wenye mawazo mchanganyiko kuja kuhoji maswali haya.
1. Agenda ya ajira kwa serikali
Hii ni miongoni mwa chungu tamu ambayo serikali yetu inaipitia kwani tayari imekwisha onekana kushindwa kuitimiza kwa kiasi kikubwa,Mara nyingi mawaziri walishughulikia masuala ya kisiasa badala ya kimkakati jambo ambalo limepelekea zaidi ya wasomi 100000 kupangiwa kazi zingine tofauti na fani zao ( kuanzisha biashara,kuchunga ngombe,n.k) swali la kujiuliza.....
a) Serikali inaowatumishi wa kutosha mahospitalini?
b) Walimu wako wa kutosha mashuleni?
c) Ni kweli walimu wa sanaa ni kikwazo kwenye ajira mpya na kama ndio wanakidhi?
d)hiki kizazi tunakipeleka wapi?
Haya ni maswali ambayo ukiyasoma kw a ubongo wa mbele yatakuwa ni ya mzaha lakini ukiyafikiria yanaelekea kwenye chungu tamu kwa serikali yetu
Wanasiasa hatukupaswi kuliambia kundi hili kuwa wakae chini wajiajiri huku hata masomo waliyoyasoma hayamfanyi kufikia hitaji hilo, pia mtaji wa kuanzishia biashara hiyo hawana, tushauriane namna ya kumaliza tatizo hili.
2.Makato ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu.
Ni kweli watu walikopa ili wasome na mikopo hii ilikuwa ikitolewa kwa watoto wa maskini.,na suala la ulipaji wake wadau walisaini mkataba wa urejeshaji ambao ulikuwa ni 8%. Lakini sasa kwa sintofahamu bunge la wanasiasa na siasa wakapitisha ongezeko la 7% sasa najiuliza maswali haya.
a) kama mkataba umekwisha vunjwa kinyume na utaratibu Nani anapaswa kulipwa
-aliyevunjiwa au aliyevunja.
b) kwanini wadau wasingeombwa kupitia upya mikataba yao na kutoa maoni?
c)makato asilimia 15 yanahaueni yoyote kwa mtoto wa maskini ambaye nyuma yake kuna tegemezi zaidi watu 100.?
Hii pia ni miongoni kwa Chungu Tamu kwenye serikali yetu ambayo inatakawia iangaliwe upya kabla mambo hayajafikia pabaya(USHAURI WA WANASHERIA NA NAMNA ITAKAVYOTAFSIRIWA UNAHITAJIKA).
3.Ongezeko la mishahara na kutopandishwa madaraja kwa watumishi wa umma.
Akiwa B.O.T mheshiwa rais alisitisha zoezi hili na la ajira ili kuhakiki kwanza watumishi hewa ambao walikuweko serikali,jambo ambalo lilipokelewa kwa namna ya pekee, lakini muda aliohutoa Rais tayari zaidi ya miezi 5. Imikwisha pita hali bado ni ile ile kuna maswali kadhaa ambayo nimejiuliza
a)Ni namna gani mtumishi hewa anathiri hali ya wafanyakazi watiifu kwa muda wa mwaka mzima?
b) ni mpaka lini watumishi hawa wataendelea kungoja danadana hizi za serikali?
c) Kwa nini HESBL isingengoja uhakiki uishe?.
d) Morali ya ufanyaji kazi kwa watumishi hawa bado upo?
c)Bunge la bajeti lijalo mawaziri husika mtajibu nini?
d) May mosi mgeni rasmi atasemaje?
Kwa Leo tutaishia hapa.......
By Mwalimu Pasaka Rucho
0756231744.