Recent content by ProudlyG

  1. ProudlyG

    Shujaa Majaliwa ni wa mchongo?

    Mwalimu wa lugha tupigishe koz na sisi tujue lugha ya kimataifa
  2. ProudlyG

    Shujaa Majaliwa ni wa mchongo?

    Kama ni kweli Mungu awe pamoja nao maana walikuwa wazalendo wakazi yao kweli kweli. Yan unaona kifo hiki apa lakini unarudi ndani kupambana wawengi huu ni uzalendo mkubwa sana.
  3. ProudlyG

    Shujaa Majaliwa ni wa mchongo?

    Hawa wadada embu wajitokeze waeleze waondoe utata maana binafsi najua wamefariki embu wajitokeze tupate mashujaa wa kike Ila kwa ujumla wavuvi waliuliga mwingi, kongole kwao.
  4. ProudlyG

    Shujaa Majaliwa ni wa mchongo?

    Okay, tumshukuru Mungu kwa kila jambo.
  5. ProudlyG

    Shujaa Majaliwa ni wa mchongo?

    Sawa, Yote Heri Mungu ni mwema. Tushukuru kwa kila jambo dogo iyo ni bahati yake tumuache afuraie keki ya taifa ni wakati wake.
  6. ProudlyG

    Shujaa Majaliwa ni wa mchongo?

    Nadhani kilichosababisha kupaizwa sana ni kutokana na kupoteza fahamu
  7. ProudlyG

    Shujaa Majaliwa ni wa mchongo?

    Ukwel anaujua Muumba... kama maji yalianza kuingia kwa rubani je walikuwa wanawasiliana nae vipi? Maana mkuu wamkoa alisema wanazungumza na rubani yupo salama? Na mtu aliemkataza majaliwa achane na rubani alimwambia maji hayaingii kwa kasi upande wa rubani? Ivyo aache. Maswali ni mengi Na...
  8. ProudlyG

    Shujaa Majaliwa ni wa mchongo?

    Hostess yupo wapi sa hii Ni kweli huenda alipambana kufungua mlango lakini kwa force ile ya maji ndani na nje mlango ungefunguka kweli? Nahic apa ndipo majaliwa alipochukua credit baada ya mlango watu wandani walivyo kuwa wanapambana kufungua yeye ndipo akaumalizia kwa njee
  9. ProudlyG

    Shujaa Majaliwa ni wa mchongo?

    Kuamini au kutoamini ilo ni jambo lingine, lkn swala la mazungumzo lugha iliyotumika ni lugha ya ishara na akaelewa rubani anahitaji msaada gani.
  10. ProudlyG

    Shujaa Majaliwa ni wa mchongo?

    Kwa uelewa wangu mdogo, iko ivi MAJALIWA alisaidia mlango kufunguka huku watu waliokuwa ndani ya ndege nao wakipambana kufungua (maana sidhani kama wangeweza kufungua wenyewe na forc me ya maji yaliopo ndani nanjee) hivyo alivyo fanikiwa kupamiza mlango na kufunguka kwa vile alikuwa na wenzie...
  11. ProudlyG

    Naomba ushauri wa Pikipiki nzuri kwa biashara

    Naombeni ushauri ndugu zangu nataka kununua pikipiki mpya ya biashara (kupakia abiria) kampuni gani nzuri bajet isizid 2.5
  12. ProudlyG

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Mimi ninasumbuliwa na tatizo la kusweet sana kwenye viganja vya mkono na mguu.....naomba msaada
  13. ProudlyG

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Mimi ninasumbuliwa na tatizo la kusweet sana kwenye viganja vya mkono na mguu.....naomba msaada
  14. ProudlyG

    English learning thread

    Hili group bado lipo?
Back
Top Bottom