Recent content by Protector

  1. Protector

    Nina siku 9 tu lakini nimetumia gb 454.8 nahofia wataniminyia speed

    Hiyo haina kikomo na speed haipungui, mimi ninayo miaka inakaribia mitatu sasa nilichukua 30Mb/s. Tunashea watu kama 5 hivi na kwa mwezi tunatumia mpaka 4TB bila mkwamo wowote
  2. Protector

    Kwanini Mitandao ya Simu ilishindwa kuendelea kutumia codes za zamani (Voda-0754, Tigo Yas-0717, Airtel-0787)?? Any technical justification please??..

    Mpaka sasa makampuni makubwa ya simu yana code hizi Vodacom 0741-0749, 0751-0759, 0761-0769 Airtel 0781-0789, 0681-0689, 0691-0699 Tigo(Yas)m 0710-0719, 0651-0659, 0671-0679 Halotel 0620-0629, 0611-0619 TTCL 0731-0739
  3. Protector

    Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

    Pole sana kwa uliyopitia, ila nafurahi kusikia kwamba kwa sasa upo na una furahi. Changamoto ni sehemu ya maisha. Napenda nijue umri wako kwa sasa na sehemu ulipo na ikiwezekana njoo DM tujuane vizuri tuweze kushauriana mambo ya hapa na pale.
  4. Protector

    Stendi mpya ya mabasi Mbeya ndiyo Itakuwa stendi mbaya zaidi hapa Tanzania

    Nimeona kuna stendi kuu, soko kuu na barabara za mitaa, jumla ya fedha ni bilioni 30. Mgawanyo wake ukoje kwa kila mradi?
  5. Protector

    Router za TTCL

    GB 50 kwa Mwaka? Mbona hilo bando la siku moja tu na kama likizidi siku ya pili halimalizi. Mimi natumia Voda 5G unlimited kwa gharama ya 120 kwa mwezi. Natumia zaidi ya 1TB kwa mwezi. Sasa hivi nina mwaka nimeangalia matumizi yangu ni 14TB tangu nijiunge
  6. Protector

    Nini uhusiano wa Bongo FM na TBC

    Wamebadilisha na frequency au zimebaki zilezile?
  7. Protector

    Nini uhusiano wa Bongo FM na TBC

    OK chief nilikuwa sijui hilo, asante kwa ufafanuzi wako
  8. Protector

    Nini uhusiano wa Bongo FM na TBC

    Oooh kumbe sawa
  9. Protector

    Nini uhusiano wa Bongo FM na TBC

    Nisiwachoshe niende kwenye mada moja kwa moja. Nimevumilia sana ila nimeshindwa, napenda kujua uhusiano ulipo kati ya Bongo FM na TBC kwa sababu mic ya Bongo FM zina stika ya TBC. Je, ni tawi la TBC au ni kampuni binafsi TBC ana hisa zake? Mwenye kujua anijuze
  10. Protector

    Fitina na Uhuni behind draw za CAF, tukomae tu

    Kwa nini tunafadhaika mioyoni mwetu? Tuziamini timu zenu tujiamini na sisi mashabiki. Timu zetu ni bora sana kama isingelikuwa hivyo zisingefuzu robo fainali
  11. Protector

    Kwa Yanga hii Mamelod lazima atoke, na Yanga atafika fainali

    Kuna wapenzi wa Simba wanaamini kwamba Yanga kupangwa na Mamelodi Sundowns hawatafika nusu Fainali. Kwangu mimi naona Mamelodi ni mwepesi kuliko Al Ahly. Kwenye hatua za mtoana Al Ahly anakuwaga wa moto kuliko kwenye magroup. Simba ndiyo ana wakati mgumu kuliko Yanga. Yanga anavuka hatua hii na...
  12. Protector

    Kuna tofauti gani kati ya Degree Holder aliye pita Diploma, na degree holder aliye pitia form 5 & 6 ( A level)?

    Ipo namna hii, watu wanasoma diploma sio kwamba wamefeli form 4 hapana. Mtu anaamua au anashawishiwa kwenda Diploma ili aajirike kirahisi. Kama inavyojulikana mahitaji mengi kwenye ajira ni diploma kuliko Bachela. Kwa hiyo anasoma Diploma na Bachela, Kazi anaombea Diploma akithibitishwa kazini...
  13. Protector

    Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    Hao ni mapacha ambao wanafanana sura sidhani kama miandiko yao inafanana pia. Wakitaka kutrace kwa mwandiko kama haifanani watakamatika tu.
  14. Protector

    Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    Kama wataamua kuwa serious kufatilia hili wataangalia mpaka miandiko yao.
Back
Top Bottom