Mungu ni Mwema naamini hatatuachia machungu ya namna hii yaendelee kutuathiri yaani kuongoza nchi kwa kuendekeza kushikilia mafisadi, hongo zilizozidi ktk kila kitengo, kuhonga lasiliamali za nchi kwa kuendekeza uhuni na utajiri binafsi, Raisi kuhudhuria safari za nje kwa kuendekeza kuombaomba...