ACT Tanzania: Nani yuko nyuma ya hiki chama?

ACT Tanzania: Nani yuko nyuma ya hiki chama?

Masilahi binafsi yanawasumbua mnalazimika kuanzisha vyama!! Manyang'au wakubwa!! Demokrasia mwaijua au mmepandikizwa ili muwe vibaraka wazuri!! Miaka ya nyuma vibaraka walikuwa Wa wazingu sikuhizi kuna vibaraka wa chama!! Mtakoma !!
 
Back
Top Bottom