Recent content by prospilla

  1. prospilla

    JamiiForums Tanzania Msaada wa U.T.I sugu

    Aisee, hizi UTI zimekua sumbufu sana
  2. prospilla

    JamiiForums Tanzania Je , singida kupangasa kikosi dhaifu leo dhidi ya Simba kama walivyofanya dhidi ya Yanga?

    Mnataka nani asiwepo?
  3. prospilla

    JamiiForums Tanzania Azam FC wamepoteza dhidi ya Singida BS walijiandaa Kwa ajili ya Young Africans

    FUENTES Aliumia mechi na ken Mohamed hajacheza mechi kadhaa sasa sio leo tu Wakizidiwq hao. Azam wabovutu, alhamis hawapati hata own goal.
  4. prospilla

    JamiiForums Tanzania Azam FC wamepoteza dhidi ya Singida BS walijiandaa Kwa ajili ya Young Africans

    Tutajie timu yoyote inayoizidi yanga kwenye takwimu zozote zile NBCPL
  5. prospilla

    JamiiForums Tanzania Idea gani ya app unatamani iwepo Tanzania mpaka sasa hujaiona?

    Hii ipo Zimbabwe kama sijakosea
  6. prospilla

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zawadi ya EID: Mwijaku kulipia jamii Maskini 1000 Kodi za nyumba miezi 12

    Anahamasisha ili na wewe ukumbuke kufanya hivyo mkuu.
  7. prospilla

    JamiiForums Tanzania Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    My wife alitangulia mbele za haki yapata miezi 13 sasa imepita Mpaka uchungu umetoweka moyoni mwangu kwa sasa. Ahsante sana kwa kujali ndugu MPELU6
  8. prospilla

    JamiiForums Tanzania Jua Kali latawala Tanzania: Hali ya Hewa kila Mkoa na Uzoefu wako ni upi?

    Manyara amewahi kuwa mzalishaji mkuu kweli? Sio RUVUMA sio RUKWA sio IRINGA
  9. prospilla

    JamiiForums Tanzania Yule Jonathan Sowah ni zaidi ya Fiston Mayele

    Muhimu aisaidie timu tu Yanga watafocus na stregth zake basi
  10. prospilla

    JamiiForums Tanzania Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    Hakika Imepita mwaka mmoja sasa tangu mke wangu arudi kwa mola
  11. prospilla

    JamiiForums Tanzania Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    Ahsante sana ndugu, japo nilimpoteza yapata mwaka sasa
  12. prospilla

    JamiiForums Tanzania Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    Pia nikishampoteza mke wangu Pole saa kwako
  13. prospilla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri: Mke wangu ameninunia kwa miezi saba sasa. Navumilia tu hata sijui mwisho wake

    Hivi ni kweli huwa mnahofia wanenu au ni kichaka tu?
  14. prospilla

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kisasa hawatagi, sasa chanzo chao ni nini?

    Mbona wapo wanauzwa, hujawahi kukutana na miluku myeupe mikibwaaa kama kilo 10 hivi?
Back
Top Bottom