Mkuu usipende kukariri na kukaririshwa vibaya. Bati mbovu na fake ni ile inayopauka haraka na kupata kutu, ila suala LA rangi kupauka huwa lipo kwa bati zote za rangi kitakachotofautisha ni muda tu kuwa zipo zitakazo anza pauka mapema na zitakazo pauka baadae sana ila haziwezi pata kutu.
Bati...
CONNECTION YA BATI NZURI,
Kuna bati nzuri za rangi, migongo mipana na migongo ya Vigae (versatile), lakini pia Vigae vya kuezekea(roofing tiles) na vile vya chini(floor tiles) vipo | KARIBU
Tupo DSM,
Nipigie +255658339930
Kwa Bati Nzuri nipigie 0658339930
Duh! Haya yote yanafanyika ndani ya nchi yetu serikali ikiwa wapi, tuwe na mipaka na tuchunge ndimi zetu kabla ya kutoa neno..mifumo ya kiusalama na kiuongozi IPO Imara Sana, pia ukaguzi wa hizo ruzuku huwa ukifanyika na hatujawahi sikia ripoti zikisema ruzuku inaliwa na MTU mmoja...na wanaohoji...
Hapa sisi wadau wa ujenzi tunashauri kabla ya kununua material Fulani kwenye ujenzi jitahiti kufanya utafiti kidogo juu ya bidhaa husika kwenye ubora wake au kujua Bei halisi, tumia mafundi tofauti tofauti au kwa kupita kwa wauzaji kadhaa ili upate taarifa kamili juu ya bidhaa unayoihitaji...
Nakuletea huduma ya bati na Vigae vya kuezekea, nitafika kwenye site yako ama nyumbani kwako ukiwa na ramani ya jengo lako(site) linalohitahitaji kupauliwa. Tukiwa wote site tutafanya yafuatayo:-
(1) Estimates(makadirio) ya bati au Vigae vinavyohitajika
(2) Nitajibu maswali yako yote kuhusu...
Binafsi sijafurahishwa na hoja ya mtoa hoja, hapo umeudhalilisha utu wa mamayo, eee mtoto kamwe usimtolee maneno ya dhiaka mzazi wako kwani alikokutoa ni mbali hadi ukafika hapo, angeweza kutoa mimba yako, angeweza kukupoteza kwa namna yoyote hata kama ungezaliwa kwani hukuwa chochote wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.