NABII LINUS TESHA NDANI YA DAR ES SALAAM KWA SIKU NNE TU
Wiki ijayo nitakuwa Dar es salaam Kwa Siku ya Alhamis na nitakutana na mtu mmoja mmoja kuanzia saa 8 mchana,siku ya ijumaa ni ibada ya unabii na ukombozi kuanzia saa 10jioni,siku ya jumamosi nitakutana na mtu mmoja mmoja kuanzia saa 8...

Nitakuwa live facebook majira ya saa nne usiku bofya hii link kunipata live Prophet-Linus Tesha pia kupata matukio yote ya kihuduma ya mrd international prophetic ministries Tanzania.
#Prophet Linus Tesha
Leo Ijumaa mpaka Jumapili nitafanya semina kubwa ya kufufua vitu vilivyokufa Ijumaa na Jumamosi muda ni saa kumi jioni kamili na Jumapili ni saa nne asubuhi nikihitimisha na ibada kuu.
Wote mnakaribishwa.
#prophetic machine.
#Prophet Linus Tesha.
#maajabu: Leo wakat ninatokea dar kurud dom nlishuka eneo ambalo nilipata ajali mbaya (morogoro)mwaka jana mwez kama huu tar23.,
Sasa chaajabu na kushangaza nilibadilika mwonekano,nikang'aa sana..Hii imeshangaza hata vijana nliokua nao.
Hii inamaanisha malaika walioniokoa bado walikua pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.