Nitakuwa live facebook ifikapo majira ya saa nne usiku

Apr 21, 2017
11
39
Nitakuwa live facebook majira ya saa nne usiku bofya hii link kunipata live Prophet-Linus Tesha pia kupata matukio yote ya kihuduma ya mrd international prophetic ministries Tanzania.
[HASHTAG]#Prophet[/HASHTAG] Linus Tesha
 

Attachments

  • mjp copy.jpg
    mjp copy.jpg
    68.5 KB · Views: 31
Aiseee manabii Wengi TZ ila Mungu hawaonyeshi yanayojiri nchni....ila ni manabii....[HASHTAG]#kunawatukuwaelewanikazisana[/HASHTAG]
 
Yaani Mungu katutenga sana sisi wa vijijini,kila nabii makazi yake dar.halafu wanapiga suti balaa.au jehanamu haituhusu sisi wa call me j!?
 
Alichotafuta nabii humu kakipata, Wake zetu online saa nne manawaambia nini ambacho mchana hakiwezekani online?
 
Ile insu yako ya kufufua vitu vilivyo kufa vip Nabii
Nenda kagela ukawafufulie vitu vyao vilivyo kufa wakati wa tetemeko
 
J.F Ianze utaratibu wa kulipia matangazo sasa.....Saa nne usiku wife ana khanga moko mi nina Taulo,tukae tunakusikiliza wewe! Familia ataongeza nani...
 
Back
Top Bottom