Siku nne za nabii Linus Tesha jijini Dar es salaam

Apr 21, 2017
11
39
NABII LINUS TESHA NDANI YA DAR ES SALAAM KWA SIKU NNE TU
Wiki ijayo nitakuwa Dar es salaam Kwa Siku ya Alhamis na nitakutana na mtu mmoja mmoja kuanzia saa 8 mchana,siku ya ijumaa ni ibada ya unabii na ukombozi kuanzia saa 10jioni,siku ya jumamosi nitakutana na mtu mmoja mmoja kuanzia saa 8 mchana,na siku ya jumapili tutaanza ibada yetu ya unabii,uponyaji na ukombozi mapema kuanzia saa 8 mchana.Mahali ni njia panda segerea nyuma ya godauni la ushirika.
Contact us 0713040730/0719893163
Wote mnakaribishwa.
[HASHTAG]#Prophetic[/HASHTAG] machine
[HASHTAG]#Prophet[/HASHTAG] Linus Tesha.
cala1.jpg
 
View attachment 499544
Wewe ni mwizi, fanya kazi za halali ujipatie kipato cha halali. Acha ubangaziaji Mungu atakulaani
 
Self-proclaimed prophet gets 3 years for stealing handbag and 2 cellphones
Posted by Maveriq | 6 Mar, 2017 | Crime & Courts |

Munyaradzi Ngoma, a self-proclaimed prophet was sentenced to 3 years in jail by Chitungwiza magistrate Mr Oliver Mudzongachiso on Thursday last week. Ngoma was sentenced for snatching a handbag and two mobile phones. He was found guilty on his own plea.

Ngoma and his two accomplices allegedly accosted Chenai Charamba in New Zwngeza 4 and grabbed her purse and 2 mobile phones. The police later on located one of the phones with one Leonard Bhonzo who implicated Ngoma.
 
nabii tunaomba cv yako umepitia wapi hadi kufikia huo unabii maana hata mimi nikikua nataka niwe prophet!
 
NABII LINUS TESHA NDANI YA DAR ES SALAAM KWA SIKU NNE TU
Wiki ijayo nitakuwa Dar es salaam Kwa Siku ya Alhamis na nitakutana na mtu mmoja mmoja kuanzia saa 8 mchana,siku ya ijumaa ni ibada ya unabii na ukombozi kuanzia saa 10jioni,siku ya jumamosi nitakutana na mtu mmoja mmoja kuanzia saa 8 mchana,na siku ya jumapili tutaanza ibada yetu ya unabii,uponyaji na ukombozi mapema kuanzia saa 8 mchana.Mahali ni njia panda segerea nyuma ya godauni la ushirika.
Contact us 0713040730/0719893163
Wote mnakaribishwa.
[HASHTAG]#Prophetic[/HASHTAG] machine
[HASHTAG]#Prophet[/HASHTAG] Linus Tesha.
View attachment 499544
Haha...naona umevalia nguo zako zile za kung'aa haswa ulipokuwa eneo ulilopata ajali.

Utawapata wengi maana wanaamini zaidi miujiza ndiyo maana mnawekeza huko ukiwa mkweli bila miujiza hapati mtu hata mmoja.
 
Aise Masikini watazidi kujifilisi tu piga pesa Mdau baada ya mwaka ununue range au hammer hakuna namna sababu huko hakuna kodi pesa yote ya kwako tena unaweka kwenye account yako ya bank.
 
Matapeli tu haya machawi.... yananikera sana mimi yamerubuni wife wangu mpk ndoa imevunjika..... ningekuwa magu ningepiga marufuku hii mijitu. Mijizi
Pole sana Mkuu masikini wanaenda huko kujifilisi sababu watu wengi dunia ya leo wanapenda miujiza na utabiri tu hakuna namna tena.
 
Hivi hawa Manabii wa sasa (nawe ukiwemo) huwa wanapewa unabii na nani?
Ukijibiwa Mdau nitag aise maana na mimi naitaji kujua ili niende nikapewe na mimi huo unabii maana huko kuna pesa sana utajiri nje nje!!!
 
Matapeli tu haya machawi.... yananikera sana mimi yamerubuni wife wangu mpk ndoa imevunjika..... ningekuwa magu ningepiga marufuku hii mijitu. Mijizi
Daaaah nimesikitika sana mkuu,pole sana.
Unaweza kutuelezea kidogo ilikuwaje ili na wengine wapate fundisho?

Mungu awasaidie ndoa yenu ipate kurudi,amen.
 
NABII LINUS TESHA NDANI YA DAR ES SALAAM KWA SIKU NNE TU
Wiki ijayo nitakuwa Dar es salaam Kwa Siku ya Alhamis na nitakutana na mtu mmoja mmoja kuanzia saa 8 mchana,siku ya ijumaa ni ibada ya unabii na ukombozi kuanzia saa 10jioni,siku ya jumamosi nitakutana na mtu mmoja mmoja kuanzia saa 8 mchana,na siku ya jumapili tutaanza ibada yetu ya unabii,uponyaji na ukombozi mapema kuanzia saa 8 mchana.Mahali ni njia panda segerea nyuma ya godauni la ushirika.
Contact us 0713040730/0719893163
Wote mnakaribishwa.
[HASHTAG]#Prophetic[/HASHTAG] machine
[HASHTAG]#Prophet[/HASHTAG] Linus Tesha.
View attachment 499544
4934b665fde42d2888e76e5f6e855bdb.jpg
Mkuu unamakanisa mangap?

Kaza but MKUU usikatishwe tamaa,wenzako wakina gwajima wanatembelea ma hummer.
 
Back
Top Bottom