Kwanza jifunze kuandika na kuhariri maandishi yako kabla ya kuyapandisha mtandaoni. Pili tafuta maarifa mwenyewe, usitegemee sana mawazo ya mtu mwingine, biblia imeandika namna Yesu atakavyokuja na hivyo huna sababu ya kutegemea mtu mwingine akuhubirie tu.
Siku kama ya leo miaka miwil iyopita MUNGU aliamua kuwafuta MACHOZI WATANZANIA baada ya MATESO ya miaka 7. Ukawa mwisho wa wasiojulikana, Kutekwa, kubambikiwa kesi, kufilisiwa na MAITI kukutwa kwenye VIROBA ufukweni. Mliopo sasa, tambueni Wenye NCHI ni WANANCHI. Na pia MUNGU yupo.
Maendeleo! Vilio vya ugumu wa maisha vinasikika kila Kona ya mitaa ya nchi hii wewe unasema maendeleo? Yapi hayo embu yaainishe hapa, tozo +tozo+tozo vitu bei juu, bado unimba kwaya na ngonjera za aina ileile?
"Wanyonge" ni watu wa namna gani hawa? Hata maandiko yamesema kinyonge hakitaingia katika urithi wa milele, wamelaaniwa wote waishio kwenye kivuli cha unyonge.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.