Recent content by Prof. motto

  1. Prof. motto

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi kwenye mikopo ya Elimu ya juu

    Lowassa kipaumbele chake cha kwnz pili na tatu kilikw Elimu Elimu Elimu. Yule mwngne ilkw ni kufungua mahakama ya mafisad na kuanzisha viwanda. So tutaisoma namba kweli kweli.
  2. Prof. motto

    JamiiForums Tanzania Mwenye majina ya mkopo UDSM!

    Lowassa kipaumbele chake cha kwnz pili na tatu kilikw Elimu Elimu Elimu. Yule mwngne ilkw ni kufungua mahakama ya mafisad na kuanzisha viwanda. So tutaisoma namba kweli kweli.
  3. Prof. motto

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi kwenye mikopo ya Elimu ya juu

    Inauzi sana,watu tumehangaika kuipigia debe ccm halafu bodi inakuja na ubaguzi wa kutoa mikopo.hii si haki. Yaan kumbe ulishabikia Fisiem afu unakuja lalamika hapa.
  4. Prof. motto

    JamiiForums Tanzania HESLB nini tatizo?

    Wanazngua kiukweli
  5. Prof. motto

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Bodi ya mikopo haijatoa majina ya waliopata mikopo kwa 2015/2016

    Kwnz hayo majina nimetafuta kila link hamna sa sijui yapo wap!!? Kumbe sheria ya mtandao inapaswa kufanya kazi maana watu wanapotezea wengne mda bure tu kw taarifa za uongo.
  6. Prof. motto

    JamiiForums Tanzania Post za vyuo mbalimbali

    Safi sana mkuu uliyepost!!! Vp abt SUA km una any info.
  7. Prof. motto

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

    Hakuna cleverbright ambae mpk karne hii bado anashabikia CCM tu!!! Ni bora ukae kimya sio kushabikia CCM ambayo miaka 50 sasa haina lolote jipya.!! Shit.
  8. Prof. motto

    JamiiForums Tanzania Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Lowasa ana uchu wa madaraka tu,, hana nia ya kuwakomboa wananchi!!! Anachotaka ni kutimiza ndoto zake bnafc kwmb aliwah kuwa rais!!
  9. Prof. motto

    JamiiForums Tanzania Magufuli atavumilia maandamano ya raia?

    Duuuuu
  10. Prof. motto

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nitakuwa Rais, ama kupitia CCM au nje ya CCM

    Mmmh aisee ni hatar
Back
Top Bottom