Magufuli atavumilia maandamano ya raia?

Magufuli atavumilia maandamano ya raia?

Nikimsoma jamaa ni mbabe, Je atavumilia maandamano ya madereva, vyama vya upinzani, wanafunzi au itakuwa ni amri moja kwa IGP


Hujamsikia salamu zake "Alijah Alimselema alijah alimselema''
Sitaki lkuwa mtabiri lakini uwezekano wa yeye kutokumaliza salama ni mkubwa kama atafanikiwa kuwa Raisi.

Wapigakura wa pande zote wanatakiwa kulitambua hilo.Goli la Mkoni mara nyingi huleta shida na mbaya Watanzania siyo wale wa 1992 wala 2000.


Tamko la chadema juu ya mauaji ya arusha - Jamii Forums

12 Jan 2011

CUF watoa Tamko kali juu ya mauaji ya Arusha - JamiiForums
8 Jan 2011


[h=3]Mauaji ya 2001: Uchaguzi wa Oktoba 2000 |[/h]https://hakinaumma.wordpress.com/.../sura-ya-tano/


Translate this page
Dec 17, 2008 - Jumapili, Oktoba 29, 2000 kwa hakika ilikuwa ni siku nyingine ya majonzi kwa wananchi wa Zanzibar, wananchi wa Tanzania kwa ujumla, ...



[h=3]Mauaji ya 2001: Kisa cha Mauaji | - Haki Sawa kwa Wote[/h]
 
Kamanda hata kampeni bado umeenza kitete JK mlikuwa mnasema dhaifu tulieni muone watawala.

Teh teh teh
magufuli atapata bunge lililojaa wapinzani,atanyooshwa tu hata kwa impeachment
 
Mgufuli ni KIHEREHERE NI NYAPARA ANA PAPARA AKIPEWA CHA KUFANYA HUWA ANAKURUPUKA ..si kiongozi.

yaani sasa hivi adi mnatia aibu,kikwete mpole dhaifu magufuli mkali nyampara,tuwaeleweje?ila nafikiri wewe ni dhaifu ndo maana unachukia watu wakali,
 
magufuli atapata bunge lililojaa wapinzani,atanyooshwa tu hata kwa impeachment

kwani bungeni ni vitani au wabunge ni machizi,kama serikali iko vizuri wabunge wanashida gani?
yeye mwenyewe analijua bunge na walikuwa hawamuwezi itakuwa akiwa rais,ila watafulahi maana hawana kazi tena,
 
Kamanda hata kampeni bado umeenza kitete JK mlikuwa mnasema dhaifu tulieni muone watawala.

Teh teh teh

Mkuu hii ndio sababu pekee nashindwa kuwaelewa watanzania..

Tulikuwa tunasema tunataka Rais dikteta, tumempata mgombea wa hivo tunaanza tena kubadilisha maneno.. Ni ujinga
 
Hujamsikia salamu zake "Alijah Alimselema alijah alimselema''
Sitaki lkuwa mtabiri lakini uwezekano wa yeye kutokumaliza salama ni mkubwa kama atafanikiwa kuwa Raisi.

Wapigakura wa pande zote wanatakiwa kulitambua hilo.Goli la Mkoni mara nyingi huleta shida na mbaya Watanzania siyo wale wa 1992 wala 2000.

pole sana unajua maana ya "Alimselema alijah" DUA ZA KUKU HAZIMPATI MWEWE,
WEWE HAUFAI KWANINI UNAMUOMBEA KUTOKUMALIZA SALAMA?
 
Mkuu hii ndio sababu pekee nashindwa kuwaelewa watanzania..

Tulikuwa tunasema tunataka Rais dikteta, tumempata mgombea wa hivo tunaanza tena kubadilisha maneno.. Ni ujinga

mkuu usiwashangae hawa ni sawa na popo hawaeleweki,nadhani jina sahihi linalowasitahili ni makanjanja wa siasa wala hawaeleweki wanakata kwenda wapi kulia au kushoto
 
Mgufuli ni KIHEREHERE NI NYAPARA ANA PAPARA AKIPEWA CHA KUFANYA HUWA ANAKURUPUKA ..si kiongozi.

Avatar yako yenyewe inaonyesha wazi hujui unacho'kinena'. Eti si kiongozi,sasa kiongozi ni nani? Mbowe? Slaa? Au mushumbuzi? Ma.vi ya bata tupu
 
Nikimsoma jamaa ni mbabe, Je atavumilia maandamano ya madereva, vyama vya upinzani, wanafunzi au itakuwa ni amri moja kwa IGP

Watu wenye akili timamu huwa hawaandamani,bali hufuata utaratibu wa kidemocracy.
ACHANA NA MAANDAMANO YALIYOKUA YANARATIBIWA NA UKAWA ENZI ZA JK!!
 
kiongoz n yupi sasa
sasa nikusaidie nini km hujawahi hata kuwa na watu w3 ambao unadhani kati yao unaweza pata kiongozi.Km huyu umeletewa unapoambiwa shida unataka na mii nikupe ninayetaka,na wengine nao wakupe wao mwisho wa siku mkiwa km nyie mil 10 si nchi itapa kiongozi aliyepigiw akura na watuw alioambiwa wapige kwa nani?
 
yaani sasa hivi adi mnatia aibu,kikwete mpole dhaifu magufuli mkali nyampara,tuwaeleweje?ila nafikiri wewe ni dhaifu ndo maana unachukia watu wakali,
Wewe ndio aibu yenyewe..wengine wanakubeba na kukutia wewe.
 
Nikimsoma jamaa ni mbabe, Je atavumilia maandamano ya madereva, vyama vya upinzani, wanafunzi au itakuwa ni amri moja kwa IGP
kwani huyu na kanisa wako pamoja? tuchunguze kwanza DINI YAKE
 
Km mheshimiwa huyu atapita basi tambueni tutakua na miaka kadhaa ya unyonge na kutojua tupeleke wapi shida zetu
 
Back
Top Bottom