Recent content by Prodigy Oligarchy

  1. Prodigy Oligarchy

    Vifo vya matajiri Urusi vyaendelea, mwingine aanguka toka kwenye dirisha la hospitali

    Itabidi niitafute hiyo Ingine nzuri nzuri kama hiyo ni ipi aisee
  2. Prodigy Oligarchy

    Karibu tufahamishane gharama mbalimbali unazopaswa kulipia kwaajili ya kutoa gari bandarini mbali na ushuru

    Heshima mbele Jf ... Naona bado asilimia fulani ya watu wapo kizani, kwenye suala zima hili la gharama mbali mbali ambazo watapaswa kugharamia mbali na ushuru wa TRA kwaajili ya magari yao. kwa namna fulani, hii imeleta mkanganyiko kwa watu wengi, sasa basi kwakua JF IS WHERE WE DARE TO...
  3. Prodigy Oligarchy

    Connection za makundi reliable ya biashara

    Ahsante, ila nilichomaanisha sio zile link, bonyeza hapa ujiunge na group. Bali connection... Kuna kundi lina hivi na vile , reliable .. something like that.
  4. Prodigy Oligarchy

    Connection za makundi reliable ya biashara

    Salaam nyingi sana wana JF, Ni ukweli uliowazi kwamba, kadri miaka inavyozidi kusonga mbele, teknolojia nayo inakua kwa kasi sana, mitandao ya kijamii nayo inashika kasi kuendana na mabadiliko bila kuisahau Jf nayo pia. WHATSAPP, Telegram, Facebook, Instagram, Twitter n k Imekua ni mitandao...
  5. Prodigy Oligarchy

    Haya ya kufanyiwa kazi haraka Simba SC kabla ya kuanza Ligi Kuu na michuano ya CAF

    Ahsanteni wazee kwa kuendelea kufunguka. Sisi tunaendelea kujifunza, naamini maoni yenu yatafika sehemu stahiki
  6. Prodigy Oligarchy

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Sawa sawa Ila haukutupa mrejesho mzee, wa ule uzi wa muarabu uliyempania
  7. Prodigy Oligarchy

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    Mzee, Mimi sijaona ambapo umeeleza Direct anuani ya ofisi , ila umeleeza tuu kwamba mpo magomeni usalama na mikocheni. Sasa magomeni / mikocheni maneneo ni mapana sana. Pia tungependa kuona stock ambazo mnazo tayari hapa kama ambavyo umetuelezea mleta mada ( picha ) Hii itasaidia sana.
  8. Prodigy Oligarchy

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    Mleta mada vipi, mbona swali langu hapo haujajibu? Au ndio hadi pm ? Tuweke vyote hapa, hamna haja ya pm.
  9. Prodigy Oligarchy

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    Vipi mleta mada, umekimbia uzi wako kaka/dada?
  10. Prodigy Oligarchy

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    Habari hermanj820 , Ahsante kwa taarifa, kabla ya kwenda mbele zaidi, naomba kujua haya! Sababu kwaajili ya afya ya BIASHARA , kuna mambo ulipaswa kuyaweka wazi sana ili kuondoa "sintofahamu" ama wasiwasi. 1. JINA Nilitegemea , ungeanza na utambulisho wakututajia kampuni yenu inatwaje...
  11. Prodigy Oligarchy

    Gharama za kubadili rangi ya gari

    Vipi mama, nissan yetu tunabadili rangi?
  12. Prodigy Oligarchy

    Toyota Rumion 2008 vs 2010; nichukue ipi wakuu?

    Mzee, Asilimia kubwa, maana ya utengenezwaji mwaka mwingine, inamaanisha "Upgrading" Haswa kwenye mifumo, interior/exterior n.k Binafsi nikushauri chukua hiyo uliyopenda The good thing is, ni Corolla, huwa haina mafua.
  13. Prodigy Oligarchy

    Ubora wa subaru Exiga

    Hizi gari, ni chache sana
Back
Top Bottom