Prodigy Oligarchy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 571
- 662
Vipi mama, nissan yetu tunabadili rangi?Asante
Vipi mama, nissan yetu tunabadili rangi?Asante
duuhDah
Nimekumbuka kuna jmaaa yangu alibadilisha rangi bila Polisi kujua ssa akaja kupata ajali kwenye Kadi rangi ingine na gari rangi ingine mbona aliliacha gari
Gharama ni sh ngapi kukamilisha hiyo michakato,polisi----tra ?Nenda kwa traffic police(Vehicle) anakupa vehicle inspection report then unaenda nayo TRA(Wakati huo rangi inaendelea kupigwa) TRA watakubadilishia na kukupa kadi mpya yenye rangi uliomba kubadilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app