Recent content by Private-eye

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania As Man unataka kuwa na furaha 2025 na kipindi chote cha maisha yako kilichobaki basi code ni hizi

    Sahihi. Kijana achana na hili swala kuoa.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

    Mwafrika bado ana safari ndefu sana kujitambua. Karne ya 22 watu bado wanafikra kama vile elimu ni siri....!
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Tupeane uzoefu kwa waliowahi au wanaopanga kutembelea China

    Nikipata wasaa nitaandika experience yangu. Lakin kwa ufupi sana ni kwamba Wachina wako mbali sana...almost kila kitu. Nilikaa mwezi mmoja...it is amazing place to visit.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Tupeane uzoefu kwa waliowahi au wanaopanga kutembelea China

    Sijawah hata kufika. Niko marangu na nataka niende mwishoni mwa mwezi huu
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Tupeane uzoefu kwa waliowahi au wanaopanga kutembelea China

    Asante mdau. Mie nataka niende kama mwezi hiv. Kinachonipa homa sana ni gharama za makazi....japo nimepata some idea kwamba kuna hotel as low as 35usd.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Painkiller Drama Based on true events. Jamaa huko marekani walikuwa wanazalisha dawa za maumiv kama panadol lakin zikiwa na addiction ya hatari. Tizama.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nina kazi ya sales kwenye kampuni

    Asante ndugu. Kwa kukusaidia tu, ukiona kazi ina hayo masharti maanake ni kazi yenye uhuru sana....yaani sehemu kubwa ya kazi hauonani na wawiliki wenye...unafanya kazi na mfumo tu. Natumain nimekuongezea maarifa kidogo ingawa unayo hiari ya kuendelea kuwa mtizamo wako. Karibu.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mnada wa TRA wa mtandaoni- Changamoto na maoni yangu

    https://customs.tra.go.tz/cm/cw/auction/auctionAllGoodsListPortal.do Tembelea hapo kila mara. Siifahamu ratiba kamili ilivyo.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nina kazi ya sales kwenye kampuni

    Asante mdau...!
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mnada wa TRA wa mtandaoni- Changamoto na maoni yangu

    Jibu rahisi ni kwamba yote uliyoambiwa sio sahihi. 1. Mali inayouzwa mnadani...bei unayoona imewekwa ndiyo kila kitu...hakuna malipo ya ziada. Mfano kama bidhaa haina ushindani na inauzwa shilingi lak moja basi waweza kuongeza tsh 1 tu na ukawa umeshinda. 2. Bidhaa zinazouzwa pale mnadani...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nina kazi ya sales kwenye kampuni

    Inbox for discussion.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mnada wa TRA wa mtandaoni- Changamoto na maoni yangu

    Ni kweli kabsa, kwa utaratibu wa sasa, ukishanunua gari unaenda polisi (baada ya kuitoa yard) upande wa usalama barabarani, wanafanya ukaguzi wa hali ya gari ikiwa ni pamoja na taarifa zake (namba ya chasis, engine nk) kisha unaenda TRA kufanyiwa usajili wa chombo chako. Kwa hakika nawapa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Nina kazi ya sales kwenye kampuni

    Hi Brother - share via rendolimitedtz@gmail.com
  14. P

    JamiiForums Tanzania Job Advertisement: General Manager at Rendo Tanzania Limited

    Job Advertisement: General Manager at Rendo Tanzania Limited Company Overview: Rendo Tanzania Limited is a newly established and dynamic distribution company specializing in the distribution of a wide range of soft drink brands. We are committed to providing high-quality products and...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Nina kazi ya sales kwenye kampuni

    Nina kazi ya sales kwenye kampuni yangu changa: mshahara 250,000/= fixed. Location: Kigamboni. Aina ya kazi: Salesperson: Vinywaji (soft drinks) kwa kutumia VAN. Contract ni miezi 3 renewable based on performance. Muda wa kazi : Saa 2 asb hadi 10 jioni. Jumatatu hadi Jumamosi...
Back
Top Bottom