Recent content by priscilla

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kama unatafuta kazi jaribu kuingia hapa inaweza kukusaidia

    huyu ni member wa fmns nn?maana hamna jipya kila siku wazzub wazzub upumbavu gani huu?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tanapa kulikoni!!!

    ma dragon siku zote kwenye jamii hawakosekanagi,mnafikiri kukatisha watu wengine tamaa ndo Mungu kashindwa,hlo halipo na haitakuwepo
  3. P

    JamiiForums Tanzania diamond international trade co ltd

    hahahahahaaha mla mbivu
  4. P

    JamiiForums Tanzania jamani kazi za BENKI vipi!!??

    nashangaa
  5. P

    JamiiForums Tanzania For sale carrier 30gtn 110 ton chiller units

    @obinna hahahahahahhaha
  6. P

    JamiiForums Tanzania Secretary cum Customer service.

    i wish hii post ingekua ni arusha,bt nawatakia kila la heri kwa atakayepata.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Tanapa

    @mafuluto mi cjasema nasubiri post ya porini,Mungu mahali ppte atakaponipangia naenda.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Tanapa

    @umenena hakika nasubiri
  9. P

    JamiiForums Tanzania Tanapa

    @idd@deo lets hope Mungu atatutetea
  10. P

    JamiiForums Tanzania Tanapa

    jamani Mungu awabarikini wote mnaotujali na kufatilia kwa faida ya wote wasio na kazi,kwangu mm naona ni upendo mkubwa sana maana mpaka mtu akueleze kinachoendelea ni upendo,wengine hata wajue hawawezi kuambia wenzio.wote Mungu atawazidishia kadri mnavyohitaji.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Tanapa

    @hassan umenipa moyo angalau tusubirie
  12. P

    JamiiForums Tanzania Tanapa

    @damcon tumtegemee Mungu,ss hatuna ndugu wala vimemo ila Mungu atadhihirika akitutetea
  13. P

    JamiiForums Tanzania Tanapa

    @wambugani hapana sina maana hyo,unajua tunaweza tukawa tunasubiri kuitwa kumbe watu walishaanza kazi,ni vizuri kuuliza
  14. P

    JamiiForums Tanzania Tanapa

    @ulimakafu sawa.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Tanapa

    @wit kweli hakuna kukata tamaa kwa Mungu yote yawezekana
Back
Top Bottom