For sale carrier 30gtn 110 ton chiller units | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

For sale carrier 30gtn 110 ton chiller units

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Tajiri mweusi, Feb 13, 2012.

 1. Tajiri mweusi

  Tajiri mweusi Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  machine ni mpya kabisa ipo sokoni bei ni 65,ooo$ condenser zake ni sealed ipo malawi ila kwa

  mtu atakayehitaji baada ya makubaliano italetwa Tanzania nimeambatanisha picha na

  catalogue yake hapa kwa anayehitaji awasiliane nami kwa simu numba 0713 691620

  NB:
  Bei itapungua kutokana na majadiliano na mteja ya usafirishaji na ushuru maana ni mpya. Karibuni
   

  Attached Files:

 2. Myelife

  Myelife Senior Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Post it in zoom tanzania pls, huku ni kwa wasio na kazi sasa tutanunua vp? Halafu pls msiwe mnatuchanganya yaani na wewe unauza mali ya hela nyingi namna hiyo lkn hujui pa kutangazia!!!!! Nsona uliwapa sana shida wslimu wako kwa kushindwa kufuata maelekezo ktk mtihani
   
 3. Tajiri mweusi

  Tajiri mweusi Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hongera kwa kumiliki mtandao mkubwa wa jamii forum hapa ni sehemu ya matangazo mkuu, Pole kwa kukosa ajira siye mimi niliyekunyima taratibu punguza hasira zidisha maombi utafanikiwa tu. forum hii ni ya Nafasi za kazi na tender sasa wewe unayesema niondoe sijakuelewa naomba nifahamishe maana wewe uwenda unaelewa zaidi tender hata nyie wa kazi pia mnaomba au?
   
 4. O

  Obinna Senior Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha ubinafsi wewe kama unaona tangazo halikufai nyamaza haliendani na wewe.
   
 5. p

  priscilla Member

  #5
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @obinna hahahahahahhaha
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,445
  Likes Received: 5,831
  Trophy Points: 280
  Mbona siyo mpya? Halafu mbona kama mochwari?
   
 7. Tajiri mweusi

  Tajiri mweusi Member

  #7
  Feb 14, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Upya kwa maana haihatumika na imenunuliwa mwaka jana. from USA
   
Loading...