Tanapa

naunga mkono issue ya kusubiri, lakini kusema hakuna udugu sio sahihi kabisa !! Tena na hii kuingiza wanasiasa ktk bodi ndiyo imeongeza matatizo. Watu licha ya kazi, wanachagua mpaka mtu awe accountant au cashier wapi maana wanajua pazuri pa kuiba magetini/entry points ect..!

Tena wewe dada kuwa makini, maana kule kumejaa mafisi watu.... nimeona umesema unasubiri posti za porini !!
@mafuluto mi cjasema nasubiri post ya porini,Mungu mahali ppte atakaponipangia naenda.
 
Back
Top Bottom