Tanapa

Wadau, naomba msikate tamaa. na wala tusiwe na speculations ambazo si sahihi. Applications zilizopokelewa ni nyingi sana; sana tena sana. kuna utaratibu wa kuhakikisha kuwa zote moja moja zinapitiwa na kuingizwa kwenye data base for record ili kurahisisha zoezi zima la shortlisting. TANAPA hakuna undugu; hata ukiwepo lazima mlengwa awe na sifa zinazotakiwa; inteview is very transparent, inafanywa na watu wengi plus watu wa nje wa taaluma husika. VUTENI SUBIRA, MWENYE SIFA ATAITWA WANDUGU
 
nazani tusubili wenye sifa wataitwa,pia hata hao waliojiendeleza wanahaki kupandishwa vyeo au kuomba kazi husika cha msingi vigezo viwe wazi
 
kwa ufahamu wangu iotategemea kibali cha kuajili kimetolewa kwa bajeti ijayo au hii,hivyo kuvuta subila muhim
 
ndugu zangu msikate tamaa, mi nina uhakika asilimia mia moja kwamba bado hawajaanza kuita watu kwenye interview, nafahamiana na watu kadhaa pale, ingawa sijaaply lakini hiyo position ya senior it kuna mtu tayari but wametangaza cz wanahitaji mtu mwingine...so kuweni wavumilivu cz wanadai short listing inaweza kuchukua up to 2 month ndo watu wataanza kuitwa, nikipata update zaid ntawapatia
 
Nimefuatilia habari za ndani kabisa.. Unachokisema ni kweli.. Kwa nafasi nyingine kuna uwezekano mkubwa sana zikafuata Haki pamoja na vimemo vidogo vya mtu kuwa shortlisted.. ILA KWA NAFASI YA SENIOR IT.. tayari Jamaa aliye-implement network toka SIMBA NET anafanya hiyo kazi na wameita tu kubariki...
 
jamani Mungu awabarikini wote mnaotujali na kufatilia kwa faida ya wote wasio na kazi,kwangu mm naona ni upendo mkubwa sana maana mpaka mtu akueleze kinachoendelea ni upendo,wengine hata wajue hawawezi kuambia wenzio.wote Mungu atawazidishia kadri mnavyohitaji.
 
let me tell ze truth, kama wewe ni muarusha bac kwenye shortlist humo! hamuwajui waarusha nn? wana ukabila na wivu cjawahi ona!
 
nimefuatilia habari za ndani kabisa.. Unachokisema ni kweli.. Kwa nafasi nyingine kuna uwezekano mkubwa sana zikafuata haki pamoja na vimemo vidogo vya mtu kuwa shortlisted.. Ila kwa nafasi ya senior it.. Tayari jamaa aliye-implement network toka simba net anafanya hiyo kazi na wameita tu kubariki...
uzushi huu
 
undugunization hauepukiki jamani.embu fikiri hata kama ni wewe una ndugu wenye sifa zinazotakiwa kama wengine bora umpe chance asikusumbue tena. ila ki ukweli sio fresh mwishowe shirika linakuwa la ndugu sasa, ila tukubali bongo itabaki kuwa bongo ni uchakachuaji kwa kwenda mbele.
 
Acheni kudanganyana. ulie apply subiri taratibu husika, and uki qualify utapigiwa simu na kueleza lini uje kwa usaili.

Kama wasomi acheni fear of unknown. Na mambo ya kufikirika.
 
naunga mkono issue ya kusubiri, lakini kusema hakuna udugu sio sahihi kabisa !! Tena na hii kuingiza wanasiasa ktk bodi ndiyo imeongeza matatizo. Watu licha ya kazi, wanachagua mpaka mtu awe accountant au cashier wapi maana wanajua pazuri pa kuiba magetini/entry points ect..!

Tena wewe dada kuwa makini, maana kule kumejaa mafisi watu.... nimeona umesema unasubiri posti za porini !!
Wadau, naomba msikate tamaa. na wala tusiwe na speculations ambazo si sahihi. Applications zilizopokelewa ni nyingi sana; sana tena sana. kuna utaratibu wa kuhakikisha kuwa zote moja moja zinapitiwa na kuingizwa kwenye data base for record ili kurahisisha zoezi zima la shortlisting. TANAPA hakuna undugu; hata ukiwepo lazima mlengwa awe na sifa zinazotakiwa; inteview is very transparent, inafanywa na watu wengi plus watu wa nje wa taaluma husika. VUTENI SUBIRA, MWENYE SIFA ATAITWA WANDUGU
 
Wadau, naomba msikate tamaa. na wala tusiwe na speculations ambazo si sahihi. Applications zilizopokelewa ni nyingi sana; sana tena sana. kuna utaratibu wa kuhakikisha kuwa zote moja moja zinapitiwa na kuingizwa kwenye data base for record ili kurahisisha zoezi zima la shortlisting. TANAPA hakuna undugu; hata ukiwepo lazima mlengwa awe na sifa zinazotakiwa; inteview is very transparent, inafanywa na watu wengi plus watu wa nje wa taaluma husika. VUTENI SUBIRA, MWENYE SIFA ATAITWA WANDUGU
@umenena hakika nasubiri
 
Back
Top Bottom